Ni lini uandikishaji wa Wanafunzi Open University of Tanzania utaanza kwa mwaka 2019?

Wadau wa elimu kuna watu walisema kuwa open university wana intake mbili yani ile una apply mwezi wa saba au mwezi wa pili.

Je, inawezekana kweli kuapply open university mwezi wa pili. Naombeni msaada wataalamu wangu
 
Open University una apply mda wowote, ukisoma prospectus yao wanasema kwa mwaka wana intake nne 4.
As we speak, application tab iko active.
 
Hata mimi naulizia hiyo hiyo kitu natamani sana kujua kuhusu applications za open university mwakahuu 2019
 
Open University una apply mda wowote, ukisoma prospectus yao wanasema kwa mwaka wana intake nne 4.
As we speak, application tab iko active.
Poa sana Mwanangu. Sasa nashindwa kujua niingilie wap kwenye ku apply. Kama unajua zaid help me please
 
Nataka niombe hapo Chuo kwa kozi ya Masters of Science in Humanitarian Action, Cooperation and Development (Msc HACD) kwa ambaye anaijua hii kozi anaweza kunidadavulia inadeal haswa na vitu gani? Nimejaribu kugoogle naona inahusika sana na mashirika ya misaada na mambo ya usuluhishi inamaana kwenye project za kawaida katika organizations au taasisi za serikali haiwezi kua applicable?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp ulifanikiwa kupata chuo open?
 
Mimi namshukuru Mungu nilifanikiwa ku apply na tayari nimechaguliwa
 
Back
Top Bottom