Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Lakini yeye ni Amiri Jeshi?? Kuhusu ukerewe vipi??Mbeya Mwandosya Anamfitini San
Kama hajafika huko basi Labda hakuambulia kura kabisa huko Mfano Mbeya wana rais wao kabisa.
HABARI WANA JAMVI!
MH RAIS KAFANYA ZIARA NYINGI KANDA YA ZIWA LAKINI HAJAKANYAGA UKEREWE! MBALI YA AJALI YA MV NYERERE KWANINI??
MBEYA HAJAWAHI KUTIA MGUU TOKA AINGIE MADARAKANI KUNA NINI???
MWENYE KUJUA NAOMBA ANIPE INSIGHTS !
ccaschal Mayala,Britanica,Gentamycine,Kipara Kipya,Magonjwa Mtambuka,ISS,Faiza Fox,Lizabon(wakunyumba),Minyoo.
UKANA SHILUNGO, Safarini Mbekenyera
Rais pia hajafika Katavi na Rukwa pamoja na ukweli kuwa Kampeni zake 2015 alifungulia Katavi na mikoa hii alipata kura nyingi, wabunge karibu wote na madiwani wengi.Mbeya Mwandosya Anamfitini San
Sawa,ila Ukerewe hata kampeni hakwenda kabisa!! MBEYA NI STRATEGICAL KWANINI HAENDI???Rais pia hajafika Katavi na Rukwa pamoja na ukweli kuwa Kampeni zake 2015 alifungulia Katavi na mikoa hii alipata kura nyingi, wabunge karibu wote na madiwani wengi.
Nadhani ni ratiba tu. Wala hakuna mkoa threat kwa Rais. Ingekuwa hajakanyaga Moshi na Arusha pia tungetia shaka.
Pia sikumbuki kama alishaenda baadhi ya mikoa ya kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
DU ! unaelewa uzi au umevamia?? understand beyond visible meaning!!
ndaga FwijoAje kufanya nini Mbeya sisi tuna rais wetu Sugu!
Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
aksante mkuu !
Kwa hiyo uko alikopita kawasaidia nini?Kwa macho yangu watu wa mbeya mlimfanyia fujo jiwe kipindi cha kampeni wanyaki bhna wanamambo ya ujuaji wakijinga sa hv mmeregea si ndyo? Mtu akipitishwa na ccm kugombea urais mjue ndo rais huyo acheni ujuaji wanyakyusa leo hii mmesahaurika kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Mbeya yote wanakaa Wanyakyusa si ndiyo ? Hahahahaha Daah, kazi sana.Kwa macho yangu watu wa mbeya mlimfanyia fujo jiwe kipindi cha kampeni wanyaki bhna wanamambo ya ujuaji wakijinga sa hv mmeregea si ndyo? Mtu akipitishwa na ccm kugombea urais mjue ndo rais huyo acheni ujuaji wanyakyusa leo hii mmesahaurika kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msubiri wakati wa kampeni za uchafuzi mkuu atakuja kuomba kula na kupiga push ups . Atawaleteta na "Almasi" iwatumbuize kwa mziki wa CCM ni ile ile, CCM mbele kwa mbele.habari wanajamvi,
Rais Magufuli kafanya ziara nyingi kanda ya ziwa lakini hajakanyaga Ukerewe mbali ya ajali ya MV Nyerere kwanini??
Mbeya hajawahi kutia mguu toka aingie madarakani kuna nini???
M kujua naomba anipe insights !