Ni lini Rais Magufuli atafanya ziara Mbeya na Ukerewe?

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,759
2,000
habari wanajamvi,

Rais Magufuli kafanya ziara nyingi kanda ya ziwa lakini hajakanyaga Ukerewe mbali ya ajali ya MV Nyerere kwanini??

Mbeya hajawahi kutia mguu toka aingie madarakani kuna nini???

M kujua naomba anipe insights !
 
Towned

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
226
500
Kama hajafika huko basi Labda hakuambulia kura kabisa huko Mfano Mbeya wana rais wao kabisa.
HABARI WANA JAMVI!

MH RAIS KAFANYA ZIARA NYINGI KANDA YA ZIWA LAKINI HAJAKANYAGA UKEREWE! MBALI YA AJALI YA MV NYERERE KWANINI??

MBEYA HAJAWAHI KUTIA MGUU TOKA AINGIE MADARAKANI KUNA NINI???

MWENYE KUJUA NAOMBA ANIPE INSIGHTS !

cc:paschal Mayala,Britanica,Gentamycine,Kipara Kipya,Magonjwa Mtambuka,ISS,Faiza Fox,Lizabon(wakunyumba),Minyoo.

UKANA SHILUNGO, Safarini Mbekenyera
Mbeya Mwandosya Anamfitini San
Rais pia hajafika Katavi na Rukwa pamoja na ukweli kuwa Kampeni zake 2015 alifungulia Katavi na mikoa hii alipata kura nyingi, wabunge karibu wote na madiwani wengi.

Nadhani ni ratiba tu. Wala hakuna mkoa threat kwa Rais. Ingekuwa hajakanyaga Moshi na Arusha pia tungetia shaka.

Pia sikumbuki kama alishaenda baadhi ya mikoa ya kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,759
2,000
Rais pia hajafika Katavi na Rukwa pamoja na ukweli kuwa Kampeni zake 2015 alifungulia Katavi na mikoa hii alipata kura nyingi, wabunge karibu wote na madiwani wengi.

Nadhani ni ratiba tu. Wala hakuna mkoa threat kwa Rais. Ingekuwa hajakanyaga Moshi na Arusha pia tungetia shaka.

Pia sikumbuki kama alishaenda baadhi ya mikoa ya kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,ila Ukerewe hata kampeni hakwenda kabisa!! MBEYA NI STRATEGICAL KWANINI HAENDI???
 
kitokololoo

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
645
1,000
Kwa macho yangu watu wa mbeya mlimfanyia fujo jiwe kipindi cha kampeni wanyaki bhna wanamambo ya ujuaji wakijinga sa hv mmeregea si ndyo? Mtu akipitishwa na ccm kugombea urais mjue ndo rais huyo acheni ujuaji wanyakyusa leo hii mmesahaurika kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora mim

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
527

Kwa hiyo uko alikopita kawasaidia nini?

Una uhakika gani aliyeuliza ni Mnyaki?Sent using Jamii Forums mobile app
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,964
2,000
Kwa macho yangu watu wa mbeya mlimfanyia fujo jiwe kipindi cha kampeni wanyaki bhna wanamambo ya ujuaji wakijinga sa hv mmeregea si ndyo? Mtu akipitishwa na ccm kugombea urais mjue ndo rais huyo acheni ujuaji wanyakyusa leo hii mmesahaurika kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Mbeya yote wanakaa Wanyakyusa si ndiyo ? Hahahahaha Daah, kazi sana.
 
Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,374
2,000
habari wanajamvi,

Rais Magufuli kafanya ziara nyingi kanda ya ziwa lakini hajakanyaga Ukerewe mbali ya ajali ya MV Nyerere kwanini??

Mbeya hajawahi kutia mguu toka aingie madarakani kuna nini???

M kujua naomba anipe insights !
Msubiri wakati wa kampeni za uchafuzi mkuu atakuja kuomba kula na kupiga push ups . Atawaleteta na "Almasi" iwatumbuize kwa mziki wa CCM ni ile ile, CCM mbele kwa mbele.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom