Wana JF,
Kwa mujibu wa vyombo vya habari leo, kanisa katoliki kupitia kwa makamu wa rais wa baraza la maaskofu wa kanisa hilo limewataka ukawa warudi bungeni bila masharti yeyote.
Mojawapo ya masharti yaliyowekwa na ukawa ni kutaka ijadiliwe rasmu ya tume ya Warioba na si rasimu nyingine ambayo haijajadiliwa na wananchi. Pia inataka bunge liache matusi na liache kupoteza muda kumjadili Warioba lijadili rasimu iliyopo mezani.
Wakat wa pasaka kanisa katoliki lilitoa waraka wa kulitaka bunge lijadili mapendekezo ya wananchi na maaskofu 32 akiwemo Niwemugizi walisaini.
https://www.jamiiforums.com/katiba-...himiwe.html?highlight=msimamo+kanisa+katoliki
Kauli aliyotoa Niwemugizi kwenye jubilei ya miaka 25 ya Rais wake inawashauri UKAWA warudi bungeni kupoteza kodi ya wananchi kumjadili Warioba na kutukanana kwani si rais wala mwenyekiti wa bunge hilo aliyesema kuwa sasa wako tayari kujadili rasimu ya wananchi.
Je, Kanisa katoliki limebadili msimamo au ni msimamo binafsi wa Niwemugizi?