Ni lini matokeo ya udahiLi yatatoka, lakini pia ni lini muda wa masomo utaanza?

Luqnation Tz

Senior Member
Jul 1, 2017
125
56
Wakuu kwa mwenye ufahamu wowote juu ya lini matokeo ya udahili yatatoka na ni lini muda wa masomo utaanza, Tafadhali naomba anifahamishe.
 
Tar 30/8 first round selection
Ni kuanzia tareha 26/8/2018 - hadi 30/8/2018. Hapa vyuo mbalimbali vitatoa majina ya waliochaguliwa na kuwaomba wahusika wathibitishe kujiunga na vyuo vyao. Wenye multiple selection wathibitishe chuo kimoja tu. Zoezi hili ni la wiki moja ili ikifika 30/8/2018 majina ya waliochaguliwa na kuthibitisha kujiunga na vyuo hivyo yatoke rasmi. Si kwamba hiyo 30/8/2018 ndo watu waanze zoezi la kuthibitisha kujiunga na vyuo kwa wenye multiple selection. Ni kweli kuwa taarifa ya TCU haikuwa wazi sana kuhusu muda wa wenye multiple selection ku-confirm. Chuo kitakachochelewa kuweka majina WAZI MAPEMA na kutoa fursa ya watu kuthibitisha kitaangukia pua!!!. Ni wazi kuwa haiwezi kuwa ni tarehe 15/8 maana siku hiyo ndiyo mwisho wa kupokea application. Lakini haiwezi pia kuwa ni tarehe 30/8 maana ndiyo siku ambayo majina yaliyothibitisha kujiunga na vyuo husika yatatoka. Ni hapo katikati.
 
Thank you
 
Baba tulikuepo na viherehere. Vyetu tunasumbua wakubwa humu JF chuo chuo hatimae tukaenda nloyakuta huko yamenifurahisha nlitaman nifunge chuo hata miaka 100 wafunge tu
Uliyoyakuta huko yanafurahisha na ukatamani ufunge chuo hata miaka 100, hapa Mkuu una maana gani?.
 
Ni kuanzia tareha 26/8/2018 - hadi 30/8/2018. Hapa vyuo mbalimbali vitatoa majina ya waliochaguliwa na kuwaomba wahusika wathibitishe kujiunga na vyuo vyao. Wenye multiple selection wathibitishe chuo kimoja tu. Zoezi hili ni la wiki moja ili ikifika 30/8/2018 majina ya waliochaguliwa na kuthibitisha kujiunga na vyuo hivyo yatoke rasmi. Si kwamba hiyo 30/8/2018 ndo watu waanze zoezi la kuthibitisha kujiunga na vyuo kwa wenye multiple selection. Ni kweli kuwa taarifa ya TCU haikuwa wazi sana kuhusu muda wa wenye multiple selection ku-confirm. Chuo kitakachochelewa kuweka majina WAZI MAPEMA na kutoa fursa ya watu kuthibitisha kitaangukia pua!!!. Ni wazi kuwa haiwezi kuwa ni tarehe 15/8 maana siku hiyo ndiyo mwisho wa kupokea application. Lakini haiwezi pia kuwa ni tarehe 30/8 maana ndiyo siku ambayo majina yaliyothibitisha kujiunga na vyuo husika yatatoka. Ni hapo katikati.
Shukrani sana Mkuu. Hakika nimependezwa sana na taarifa hii, naweza kusema una moyo mkunjufu sana sijapata kuona.
 
Back
Top Bottom