Ni lini Kikwete atatulia Nchini?

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Jamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad:

Kikwete.jpg

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto.​
 
Akianza ka ya tunisia atatulia kidogo

safari zingine haziepukiki kwani anaudhuria mkutano muhimu pia kuna world economic forum hawezi kukosa hiyo ni muhimu pia hata nyerere alikuwa anasafiri kama kuna umuhimu
 
ziara zake zinamanufaa kwa familia yake kwa sababu ikulu ni mradi wa familia ya kikwete......mwacheni ale nchi
 
cha ajabu hapa nchini anatuachia maswali mazito kutokana na ukimya wake katika masuala ya mazito wakati kule anahutubia kama hana matatizo yanayohitaji msimamo wake as president
 
Jamani mbona hamna huruma na mkulu wetu? Mwenzenu anaumwa huwa anaenda kuchakachua damu mnataka aanze kuanguka anguka kama kifaulongo?JK mwaya wee usiwasikilize wazushi afya yako ni muhimu, afya ikitetereka na taifa litayumba , kula bata mwana.
 
Jamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad:

View attachment 21681

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto.​

Hadi tutakapoweka kwenye katiba kuwa rais hatakiwi kufanya ziara ovyo. Sioni kama kuna umuhimu wowote kwa Rais kwenda kwenye mkutano wa Davos, ni mkutano muhimu yes, lakini asipokwenda hakuna kitakachopungua.
 
Jamani hivi ni lini Mkuu wetu wa nchi atatulia nchini na kulitumikia taifa...! Hivi sasa yupo huko Geneva, Swiss...! Hivi hizi safari zake zina maslahi yoyote? :sad:

View attachment 21681
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon jijini Geneva Uswisi. Rais Kikwete yupo nchini humo kwenye Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Habari na Uwajibikaji wa Afya na Wanawake na Watoto.
unategemea nini wakati utotoni alikuwa anapenda kula miguu ya kuku..yaani akikaa ofisini anaona miguu inawasha
 
Back
Top Bottom