Ni lini JWTZ wataajiri vijana wa JKT waliopo makambini kwa mwaka huu 2018?

miaka ya nyuma kuanzia 2012 kushuka chini kukuta form za JKT mtaani ni kitu cha kawaida saana ila sasa hivi ni ishu, sio hivyo tu bali hata ukienda huko JKT kupata ajira ni ngumu mnooo.
Kwasasa JKT imekuwa ishu sana kupata nafasi, alafu ajira zenyewe pia hazieleweki
 
Kwahiyo mwaka huu hakuna ajira za JW
labda itokee kwa emergency ila mwakani ni uhakika zaidi sema kuna op kikwete waliobaki humo vikosini hii ndio itawaathiri zaidi ila kwa magufuli wataongezewa mkataba na hao wapya sijajua wanaitwaje(op merelani kama sijakosea) hao wana advantage kubwa zaidi
 
Sawa mkuu
 
Mmmm yani Magu katoka kuajiri juzi tu vijana elfu 5 naaa, aajiri tena mwaka huu? Subirini tu mpaka 2019 kwenye september au 2020 tena watachukuliwa wale wa mererani, yani kwa 2018 na 2019 futa katika akili yako
 
Ila kwani mnakwenda jeshini kutafuta ajira au ukakamavu ?!

Me nashauri serikali waweke limit au wapige beat kabisa wakifanya hizi trainings
 
Habari zenu wakuu..
Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, lengo langu ni kupeana taarifa kuhusu ajira za Jeshi la Wananchi wa Tanzania hususan kwa vijana waliopo kwenye kambi za Jkt na wameshamaliza mafunzo yao ya awali.
Kama kuna member yeyote humu ana taarifa sahihi au tetesi za jambo hili basi tujuzane.
Nawasilisha.
Jeshi haliajiri bali linaandikisha (enrol). Pale upanga utapata majibu sahihi bila chenga.
 
labda itokee kwa emergency ila mwakani ni uhakika zaidi sema kuna op kikwete waliobaki humo vikosini hii ndio itawaathiri zaidi ila kwa magufuli wataongezewa mkataba na hao wapya sijajua wanaitwaje(op merelani kama sijakosea) hao wana advantage kubwa zaid
i
VP kuhxu op kikwete waliojenga ukita wao c waliahidiwa kuajiriwa na wao ndo had mwakan au
 
HV miongon ya watu walioenda kujenga ukuta merelan hakuna waliochaguliwa kwenda kupga koz? je nahaowalioahdiwa ajira mwaka huu hawatoenda au
 
HV miongon ya watu walioenda kujenga ukuta merelan hakuna waliochaguliwa kwenda kupga koz? je nahaowalioahdiwa ajira mwaka huu hawatoenda au
waliokidhi vigezo wameenda CCP.
hakna aliyeenda jeshi la wananchi maana Kule kwa sasa hakuna kozi inayoendelea
 
waliokidhi vigezo wameenda CCP.
hakna aliyeenda jeshi la wananchi maana Kule kwa sasa hakuna kozi inayoendelea
sawa! nachomaanisha ni kpind kile waliofanya usail wa jw wengi wao walikuwa washafanya usail pind tu walvyoenda kujenga ukuta ,jw wakaja kuchukua watu,je hakuna alyechaguliwaga kwenda koz ya jw lakn akawa yupo merelan!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom