Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,642
- 2,919
Wengi walio fanyiwa usaili walikosa sifa ujue polisi ni kazi inayo hitaji weledi.Nyie binadamu someni alama za nyakati, JKT kazi yao imeisha, sema huwa wanatoa kipindi cha miaka 2 kukaaa kambini kama hujapanda ajira humo ndani huwa wanaterminate mkataba wako ukaendelee na maisha yako wanakupa na cheti
unashindwa kujiongeza hata kidogo, juzi jeshi la polisi walitaka vijana wakaambiwa wachukue watu wa JKT lakini walichukua kdg, then wakachukua na raia nje vijana wa JKT wanalalamika maombi yao yamepigwa kapuni,
unadhani hao raia ni watu wa kawaida tu au ni watoto wa wakulima??
KUJIONGEZA HAKUHITAJI ELIMU ni kupima tu mambo yanavyoenda.