Ni lini Dunia itachukua hatua dhidi ya ISRAEL?

Status
Not open for further replies.
Nicholas J Clinton
Palestine government ndiyo ya kulaumiwa, kwani wao wameungana na Hamas, hivyo lolote linalofanywa na Hamas ni wazi kuwa lina baraka za Palestine government. Israel acha iendelee kugawa dozi ado ado,kwani ni haki ya kimsingi ya Israel kama taifa huru kulinda raia wake wanapokuwa hatarini. Hawa jamaa wa kipalestina wala hawana uchungu, Kwani wameshauriwa na misri na US wamekataa kuacha mashambulizi ambayo wanayalenga kwenye sehemu za israel zenye 70% ya waisrael. Kama wangejua wanapata Hasara basi serikali ya Palestine ingeingilia kuzuia maafa zaidi.

Ni wazi kuwa Israel inajitahidi sana mpaka sasa kupunguza causalities. lakini Hamas hawataki Amani kama Palestine wasivyoitaka Amani. wanajiona wanazo silaha za kutosha za kuishinda Israel.Na hili linatokana na matatizo ya extremists. lets see.
Kuhusu kuua watu--sometimes you need to break the rules unapo-deal na ugaidi. Mfano hata Obama na hata Bush alifikia steji ya kubadilishana wafungwa na magaidi nakuwapa na pesa (mamilioni ya magaidi kujikimu.!!)
 
Mbona hausemi sababu ya kufanya hivyo ni nini ? Kwako wewe Hamas wanaorusha maroketi zaidi ya 100 si tija kwako ??

Leo mwenye nchi aliyenyang'anywa ardhi yake ndiye hana haki? Dah amma kweli dunia hii imekwisha.

Kama ni hivyo basi tusingewaunga mkono Afrika Kusini kugombea ardhi yao, au Rhodesia. Ilikuwa ikikaliwa na wakoloni.

Ujuwe huko Palestina hakuna tofauti na hao niliokuandikia hapo juu. Ni wakoloni na wanatawala nchi sio yao kwa mabavu na wakisaidiwa na mabwana zao wa USA, UK na Ulaya.
 
nami kama mtasha kupanda gari moja na mwarabu no yaani nasema no coz hawa jamaa sio kabisa.
 
jamani nauliza JIHAD imetangazwa huko GAZA???.......Nataka nikachukue pepo ya BURE
 
Leo mwenye nchi aliyeng'anywa ardhi yake ndiye hana haki? Dah amma kweli dunia hii imekwisha.

Kama ni hivyo basi tusingewaunga mkono Afrika Kusini kugombea ardhi yao, au Rhodesia. Ilikuwa ikikaliwa na wakoloni.

Ujuwe huko Palestina hakuna tofauti na hao niliokuandikia hapo juu. Ni wakoloni na wanatawala nchi sio yao kwa mabavu na wakisaidiwa na mabwana zao wa USA, UK na Ulaya.

Acha utoto unataka kumdanganya nani we ?
 
Habari kutoka Palestina zinaeleza jinsi majeshi ya Israel yanavyoendesha mashambulizi yake ya angani na nchi kavu nchini humo, hasa katika ukanda wa Gaza. Katika muda wa wiki mbili jumla ya Wapalestina waliouliwa ni zaidi ya 170 wakiwemo watoto 25. Takribani raia 2, 000 wamejuruhiwa vibaya. Wakati huo huo Israel imeamua kuimarisha na kuongeza nguvu zake za kijeshi kwa kuwaita wanajeshi wake wa akiba wapatao 20,000, tiari kwa kuingiza vifaru vyake katika ukanda wa Gaza. Matokeo yake ni Wapalestina wengi zaidi kuawa. Ukanda wa Gaza ulichokozwa kwa makombora ya Israel. Huu ni ukanda ambao umekuwa ukizingirwa na majeshi ya Israel tangu september 2006. Huu ni ubabe wa hali ya juu na Dunia imekaa kimya na raia wa Palestina wakipukutika mwisho Taifa hili litafutwa na Israel.

Dunia inaogopa kusema kwasababu wanajua hao wayahudi rafiki yao ni US na waNATO. Alafu media karibu zote kubwa wanazicontrol wao.
 
Nicholas J Clinton
Palestine government ndiyo ya kulaumiwa, kwani wao wameungana na Hamas, hivyo lolote linalofanywa na Hamas ni wazi kuwa lina baraka za Palestine government. Israel acha iendelee kugawa dozi ado ado,kwani ni haki ya kimsingi ya Israel kama taifa huru kulinda raia wake wanapokuwa hatarini. Hawa jamaa wa kipalestina wala hawana uchungu, Kwani wameshauriwa na misri na US wamekataa kuacha mashambulizi ambayo wanayalenga kwenye sehemu za israel zenye 70% ya waisrael. Kama wangejua wanapata Hasara basi serikali ya Palestine ingeingilia kuzuia maafa zaidi.

Ni wazi kuwa Israel inajitahidi sana mpaka sasa kupunguza causalities. lakini Hamas hawataki Amani kama Palestine wasivyoitaka Amani. wanajiona wanazo silaha za kutosha za kuishinda Israel.Na hili linatokana na matatizo ya extremists. lets see.
Kuhusu kuua watu--sometimes you need to break the rules unapo-deal na ugaidi. Mfano hata Obama na hata Bush alifikia steji ya kubadilishana wafungwa na magaidi nakuwapa na pesa (mamilioni ya magaidi kujikimu.!!)

Mkuu naona kama huko ki ukabala/udini zaidi ehehe?
Sisi wabongo kulingana na sera ya Taifa letu hatufikirii hivyo unavyofikiria wewe mkuu. Ni suala la amani na maelewano. Hata huyo myahudi mwenzao yesu alisisitiza hilo.
 
Leo mwenye nchi aliyenyang'anywa ardhi yake ndiye hana haki? Dah amma kweli dunia hii imekwisha.

Kama ni hivyo basi tusingewaunga mkono Afrika Kusini kugombea ardhi yao, au Rhodesia. Ilikuwa ikikaliwa na wakoloni.

Ujuwe huko Palestina hakuna tofauti na hao niliokuandikia hapo juu. Ni wakoloni na wanatawala nchi sio yao kwa mabavu na wakisaidiwa na mabwana zao wa USA, UK na Ulaya.

Nimependa comment yako. At least hukuonyesha udini wako. umeongelea reality.
 
Ushenzi gani waarabu wanatuharibia dunia kwa vita kisa dini nenda irak,Pakistan ,Nigeria ,Syria ,Somalia ,Kenya ,Zanzibar na Africa ya kati

Hamna kitu kama hicho,muislamu hajawahi wala hatakuja kuwa muharibifu ktk hii dunia.tanzania bila chuki za kidini inawezekana.
 
Habari kutoka Palestina zinaeleza jinsi majeshi ya Israel yanavyoendesha mashambulizi yake ya angani na nchi kavu nchini humo, hasa katika ukanda wa Gaza. Katika muda wa wiki mbili jumla ya Wapalestina waliouliwa ni zaidi ya 170 wakiwemo watoto 25. Takribani raia 2, 000 wamejuruhiwa vibaya. Wakati huo huo Israel imeamua kuimarisha na kuongeza nguvu zake za kijeshi kwa kuwaita wanajeshi wake wa akiba wapatao 20,000, tiari kwa kuingiza vifaru vyake katika ukanda wa Gaza. Matokeo yake ni Wapalestina wengi zaidi kuawa. Ukanda wa Gaza ulichokozwa kwa makombora ya Israel. Huu ni ukanda ambao umekuwa ukizingirwa na majeshi ya Israel tangu september 2006. Huu ni ubabe wa hali ya juu na Dunia imekaa kimya na raia wa Palestina wakipukutika mwisho Taifa hili litafutwa na Israel.
Your facts are irrelevant.

The world knows where is the problem and who is the problem. So, go get your facts correct before you write weak thread like this. Why don't you blame the sons of Arafat for starting a war while knowing they can't handle the reality of losing the battle?

[h=3]Bennett: Hamas to Blame for Gaza Civilian Deaths - Inside ...[/h]
 
Let Israel kill them all the paleshitians aka the desert rats, the world will be a better place without the fakestine like Nicholas J Clinton

Cha ajabu ni kwamba hayo matusi umewatukana mpaka wayahudi. Historia inaonyesha kuwa hao ni one blood. Kama Palestines are rat, basi ndugu zao wanaogombana nao vile vile ni rat. inakuwaje wewe na ndugu yako wakuzaliwa mmoja awe binadamu na mwenzake awe panya? Bro tumieni akili.
 
Leo mwenye nchi aliyenyang'anywa ardhi yake ndiye hana haki?
Mwaka 1967 walipopewa bichwa na Urusi -Waarabu Walichagua njia ya vita kuitokomeza Israel na sasa haya ni matokeo ya maamuzi ya waarabu.Tena washukuru walirudishiwa sehemu kubwa ya ardhi yao na taifa la mungu.Wamependelewa kwakweli ila hawajui tu.Mungu anakasirika sana kuona Israel inagawa ardhi aliyowapa waishi na kumtumikia yeye. Ahadi ya Mungu kwa Musa kuwatoa wanawaisrael Utumwani kwa waarabu ilikuwa waje waishi kwenye hii nchi-the Promised land.
Dah amma kweli dunia hii imekwisha.

God is so damn well happy, hivyo Dunia itaendelea na haitakwisha ili muradi watu wake Israel wana-take care Arabs effectively. Na US itaendelea kubarikiwa As long Ina isapoti Israel.

Kama ni hivyo basi tusingewaunga mkono Afrika Kusini kugombea ardhi yao, au Rhodesia. Ilikuwa ikikaliwa na wakoloni.
Ujuwe huko Palestina hakuna tofauti na hao niliokuandikia hapo juu. Ni wakoloni na wanatawala nchi sio yao kwa mabavu na wakisaidiwa na mabwana zao wa USA, UK na Ulaya.
PAlestina ya leo ni tofauti na ya mwaka 47, unaweza kusapoti Palestina ukakuta unasapoti magaidi.Yesar Arafat alikuwa Gaidi na chama chake Cha PLO kinaongoza nchi. Na wameungana na Hamas ambao ni magaidi na waasisi wa mbinu za kujilipua.

Afrika kusini ilikuwa inaishi na wazungu vivyo hivyo zimbabwe. wale wazungu na waafrika ni taifa moja ila wanabaguana. Sio ukoloni. Israel na Palestina sio taifa moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom