Ni lini Dunia itachukua hatua dhidi ya ISRAEL?

Ni lini Dunia itachukua hatua dhidi ya ISRAEL?

Status
Not open for further replies.

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
897
Reaction score
559
Habari kutoka Palestina zinaeleza jinsi majeshi ya Israel yanavyoendesha mashambulizi yake ya angani na nchi kavu nchini humo, hasa katika ukanda wa Gaza. Katika muda wa wiki mbili jumla ya Wapalestina waliouliwa ni zaidi ya 170 wakiwemo watoto 25. Takribani raia 2, 000 wamejuruhiwa vibaya. Wakati huo huo Israel imeamua kuimarisha na kuongeza nguvu zake za kijeshi kwa kuwaita wanajeshi wake wa akiba wapatao 20,000, tiari kwa kuingiza vifaru vyake katika ukanda wa Gaza. Matokeo yake ni Wapalestina wengi zaidi kuawa. Ukanda wa Gaza ulichokozwa kwa makombora ya Israel. Huu ni ukanda ambao umekuwa ukizingirwa na majeshi ya Israel tangu september 2006. Huu ni ubabe wa hali ya juu na Dunia imekaa kimya na raia wa Palestina wakipukutika mwisho Taifa hili litafutwa na Israel.
 
Mbona hausemi sababu ya kufanya hivyo ni nini ? Kwako wewe Hamas wanaorusha maroketi zaidi ya 100 si tija kwako ??
 
Acha magaidi wafe, kama vp waache ugaid, na bado israeli hawajaanza kazi, wakianza ndo utajua

- Ebu kuweni na adabu hata kidogo tumieni hekima na busara kuchangia chochote hapa na si haya yenye mnaongea ni wenda wazimu mtu mwenye akiri timamu kuchangia kana kwamba umeazima akiri.
 
- Ebu kuweni na adabu hata kidogo tumieni hekima na busara kuchangia chochote hapa na si haya yenye mnaongea ni wenda wazimu mtu mwenye akiri timamu kuchangia kana kwamba umeazima akiri.

Nahisi ww umeazima akili, unajua aliyeanzisha vita hii? Kama hujui kaa kimya, ndiyo maana ss tunawaita hao ni magaidi
 
Nahisi ww umeazima akili, unajua aliyeanzisha vita hii? Kama hujui kaa kimya, ndiyo maana ss tunawaita hao ni magaidi

- Kwanza mkuu sijakulenga wewe kumradhi kwa hilo ila nimepitia post yako ambayo inawashtuma watu kuwa ni magaidi na hivyo ni haki ya Wapalestina kuuliwa kama panya kwenye mtego.
 
Simple answer HAMAS ni magaid, na kwa nn wanawaweka watoto na akinamama eneo na vita wakati wameshaonywa?

- Unajua kilicho nyuma ya ugaidi huu unaongelea katika mashariki ya kati, Afrika, na Uarubuni, huku tunashudia ulaya na U.S.A ikiwa imetulia na raia wa maeneo hayo wakifa kisa ugaidi angalia Nigeria, C. Afrika, Somari, Sylia, DRC, SUDAN Mali, Libya, Angola, Iraq, Afghanistan, Iran, haya yote ni ugaidi unajua nyuma yake kuna nini?
 
Umeona nnchi ulizotaja, almost zote zimekuwa dominated na din moja ndiyo maana wengi huwa wanashindwa kutofautisha din na ugaid
 
Umeona nnchi ulizotaja, almost zote zimekuwa dominated na din moja ndiyo maana wengi huwa wanashindwa kutofautisha din na ugaid

- Hapa ndo penye uelewa mdogo wa watu wengi kuwa dini flani ni ndiyo yenye matendo ya kigaidi na dhana ya ugaidi ni nani mwasisi wake na makusudi ya dhana ya ugaidi nini kama si kulishwa maneno ya ugaidi nani yu nyuma ya ugaidi?
 
Ww jipe moyo tu, lakini ukweli unajulikana juu ya ugaid hata kichaa anajua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom