Ni lini CCM ilibadilika na kuanza kuwa rafiki wa Waislamu Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana Kaka yangu Kahtan ,bado tupo pale pale dini hizi mbili haziwezi kuwa sawa na bado kama mkristu ninaamini YESU ni MUNGU na hauwezi kunibadilisha ndiyo IMANI yangu tunachotakiwa kufanya ni kuheshimiana au tuseme tukubali katika kutokubaliana.Tunachotakiwa kufanya kwa sasa siyo kulumbana sidhani kama kuna mfumo kristu hichi kitu hakuna.Shida,ajira,afya,umaskini watanzania bila kujali imani zao wanavikosa.Tunachotakiwa kupopiga vita ni RUSHWA,UFISADI na kutumika mali za umma hovyo na kulinda maliasili zetu.Bado nasisitiza hatuhitaji Dini kwenye hili bali umoja wa watanzania.Kwangu mie naweka UTAIFA kwanza na ninaheshimu IMANI ya mtu mwingine.
 
Alie ianzisha dini yenu ndo mchawi wenu,nyie hamlal kila sku madai madai,inamaana n nyie dunia nzima ndo mnaoonewa?n wapi ukienda unaulizwa dini yako labda museme mnatengwa?sikio la kufa mtaishia kulilia mfumo kristo mnakufa na makovu yenu usoni,somen hamsomi mwsho wa siku et "tunaonewa"hahahhahahhaha.
 
Wewe mi nakufananisha na "ushuzi wa ngomani"
Watu wanacheza kwa madaha yao! We unapenyeza na kuchafua mazingira!
Teh teh teh teh!

Sasa hapa umeongea nini!!
Halafu tukisema jf inajazwa makapi mnasema tunakashifu!
Mnfnsssss§ssssssssssss!
 
Unaongea vitu halafu unashindwa kujidadavua mwenyewe!
Kama kweli ccm ndio chanzo cha udini! Basi kumbuka muanzilishi wao SIO KIKWETE!!
Wewe mara nyingi unampa personal attack KIKWETE! Tena bila aibu unajionyesha kabisaa kuwa WEWE NI CHADEMA (chama cha demokrasia ya magalatia)!
Yule mnaetaka kumpa UTAKATIFU NDIO CHANZO CHA UDINI TZ!
Kwa hiyo wacha kulaumu mjumbe! Laani mtumaji na muanzilishi!
Niambie in lipi nililosema ambalo si la ukweli. Sioni Ainu ya kuwa chadema.
 
Niambie in lipi nililosema ambalo si la ukweli. Sioni Ainu ya kuwa chadema.

Kwa kifupi hao MA CHADEMA NI Ma Jasusi kama wewe!
Mpango wao wa kuturudisha kwenye siasa ya kikafiri tumesha ushtukia.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom