Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,340
Tutaendelea kukumbushana .Na dizaini kama lishasahaurika nahisi,,,
Tutaendelea kukumbushana .
Mbowe anazunguka tu! CDM nzima imelala tu kuna nini?Tuache unafiki wa kupuuza mambo ya msingi , mchakato uliompitisha huyu jamaa kuwa Meya wa Kinondoni ulikuwa batili kuliko batili yenyewe , ni lini ataondolewa ?
Ikiwa kama tutashindwa kumng'oa huyu jamaa , ambaye umeya wake hata kunguru wanajua si halali basi tujiulize na kujipima kama tunaheshimu katiba ya Tanzania au tumeamua kuungana nao kuipuuza.
Kama ni kweli itakuwa masikitiko sana , huyu jamaa hakushinda si tu kihalali , bali hakushinda kabisa .Mbowe anazunguka tu! CDM nzima imelala tu kuna nini?
Imefikia wapi ? Pamoja na hayo walitakiwa waiombe mahakama imzuie huyu jamaa kuingia ofisini mpaka shauri la msingi litakavyotolewa maamuzi , huyu si Meya kabisa ! Ni vituko na vichekesho .Kama sikosei Cdm walifungua kesi.
Imefikia wapi ? Pamoja na hayo walitakiwa waiombe mahakama imzuie huyu jamaa kuingia ofisini mpaka shauri la msingi litakavyotolewa maamuzi , huyu si Meya kabisa ! Ni vituko na vichekesho .
Yaah kuna kesi..Kama sikosei Cdm walifungua kesi.
Kuna mzizi mmoja umeingia ndani sana.Yaah kuna kesi..
Tena nakumbuka Wakili John Mallya ndie aliifungua pale Kisutu lakini hii kesi haijatajwa kwa muda mrefu sasa.
Mwaga vitu hapa , usikalie habari .Kuna mzizi mmoja umeingia ndani sana.
Tuko tayari kuchangia pesa taslimu ili kugharamia michakato ya kisheria .Huyu Meya hapaswi kabisa kuachwa aendelee kukaa pale ofisini...
Ni Batili kabisa na kila mtu analifahamu hili.
Wahusika CDM tunaomba jibu kwenye hili la Meya feki Ben Sitta.
Kabisa Mkuu..Tuko tayari kuchangia pesa taslimu ili kugharamia michakato ya kisheria .