Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
yaani ata io 4 bado watu hawajawa aware nayo sasa wanaintroduce 5 duu mambo ya teknolojia ayo
mambo yanaendelea kuleak inavoonekana sio iphone tu itakayozinduliwa bali pia ipod na ipod nano.
Na pia kutatoka itunes mpya ile ya zamani haitatumika
to correct u: ni iphone nano kwa ajili ya wasio na uwezo wa kununua mi iphone mikubwa,
Mkuu mbona hzo nano ni ipods not i phones! Au....
acha ipod nano ambayo hata mimi nnayo heheheh, hii ni iphone nano ina umbo dogo kuliko iphone za kawaida na bei yake itakuwa cheaper kuliko izo kubwa, nilikuwa nawatch asubuhi kuhusu iphone 5 na ios6 pia wakazungumzia kuhusu iphone nano na ikaoneshwa sample yake
mi naisubiri tuone specification zake na za s3
hamna haja ya kubishana waungwana ushindani utakuja kitu kikiwa released shauri zenu usikie imetoka simu kama transformer movie vile