Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,179
- 2,004
ccm nini?? Ukijibu hilo swali ndio utajua hiyo laana unayoisemea, damu ya chacha wangwe inazidi mkutesa mwenyeki wa chadema,
Mungu atalaani kwenu na ardhi yako, usituletee balaa na ulimi wako hapa. Tunachagua kiongozi bora sio bora kiongozi.
Ukawa my foot.
Kuchagua ssm ukaacha Ukawa sawa na kuchagua kwenda kuzimu ukacha mbinguni(peponi)...!
+ vibaka wa wazinzi. Hadi wanafungana kugombe bar maid
Ni mawazo yangu tu, kwa takribani miaka zaidi ya 50. CCM imejichotea utajiri wa nchi yetu na kugawanya miongoni mwao.
Tumepigika mno, sasa ni wakati wa kuamua kupisha vyama vingine.
UKAWA!!!! Tumaini letu!!
kundi la ngedere hawezi kuzaliwa kuku, CCM wote wana tabia zinazofanana.
Acha hisia, ngedere na kuku wametoka wapi hapa.
Narudia tena, tunachagua kiongozi bora sio bora kiongozi.
Acha hisia, ngedere na kuku wametoka wapi hapa.
Narudia tena, tunachagua kiongozi bora sio bora kiongozi.