Ni laana kuichagua tena CCM, Mungu atailani ardhi yetu

Bamboo, tatizo pia ni system mbovu serikalini iliyo wekwa na CCM. Hakuna mtu ndani ya CCM ataweza kubadilisha hilo.

hakika mkuu babatovu lakini kumbuka, serikali legelege huzaa viongozi lege lege. And the "vis vesa" means the same.
 
Last edited by a moderator:
Shukrani A. Ngonyani

Miaka 50 umechanganya na miaka ya Nyerere 23 aliyotawala Nyerere Chadema mnaona akufanya kitu chochote.

Chadema kweli hamjui mchango wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hii nchi.
 
Last edited by a moderator:
.... Eti Ccm Nao Wameiga Cdm Mitano Yao Wanamuomba Mungu. Yaani Ccm Ni Chama Cha Mazombi
 
Huyo Mungu wa Chadema kwa nini kakubali Chadema kiwe chama cha upinzani?
 
MUNGU ailaani Tanzania mara ngapi...???
Mbona toka kitambo tunaishi na laana ya kukwapua rasilimali za taifa, ahadi hewa, ukatili/mauaji binadamu (kuchuna ngozi, kukamua mafuta, kunyofoa viungo mbali mbali,n.k)

Rejea idadi ya viashiria vya ushirikina kwenye mikutano ya kisiasa ili kuthibitisha kuwa sisi tuna laana toka kwa MUNGU (namaanisha mwenye enzi; muumba mbingu, na nchi na vyote vilivyomo)
 
Mungu ameshailaani Tz tokea tulivyoikataa Israel.
Cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
ccm inatumia ujinga na umasikini wa watanzania ili kuendelea kutawala.
Kwani CCM wao siyo watanzania? Inatumiaje ujinga na umaskini wa watanzania? Au ccm ni wageni? Kama wao siyo wajinga basi acha waendelee kutawala hawa wajinga na maskini ukiwemo wewe. Mimi ni mtanzania ila siyo mjinga wala maskini.
 
System bora au substitute system majaribio
Na unajuaje system unoitaka ni bora.
 
Naamini upinzani ukipata hata miaka mitano tu tutaona mabadiliko hata kidogo.Watz wenzangu tuijaribu UKAWA hata kwa miaka mitano tu.Kwa kuwa sisi ndo wapiga kura wakifeli tuweke wengine hata kama ni CCM.Lakini kwa sasa CCM ni failure kimfumo na kiutendaji.
 
tuache woga jamani hata vyama vingine vina uwezo wakuongoza nchi na si ccm tuu,vijana tujiandikishe ili octoba tupige kura na tulinde kura zetu
 
Back
Top Bottom