Ni laana kuichagua tena CCM, Mungu atailani ardhi yetu

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,406
9,209
ccm inaongoza kwa mazoea, ni sawa na mtu ukikaa naye sana hutaona kama anabadilika au anakuwa utamuona yupo vile vile.
 

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
Upo sahihi kuuliza hilo swali...maana bdio njia pekee iliyobakk kumtoa huyu mwendawazimu(ccm)
 

kababu

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,691
788
ccm nini?? Ukijibu hilo swali ndio utajua hiyo laana unayoisemea, damu ya chacha wangwe inazidi mkutesa mwenyeki wa chadema,
 

babatovu

JF-Expert Member
May 5, 2014
2,740
1,599
Ukisha ona nchi inaongozwaa na walala makaburini, wauaji wa albino, wafanya ibada za wafu ujue laana upo juu yao pamoja na juu ya nchi. Neno la Mungu linasema "amelaaniwa amtegemeae mwanadamu". Viongozi wengi wa CCM ni watumiaji wazuri tu wa nguvu za giza.
 

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,347
3,624
Mungu atalaani kwenu na ardhi yako, usituletee balaa na ulimi wako hapa. Tunachagua kiongozi bora sio bora kiongozi.
Ukawa my foot.
 

babatovu

JF-Expert Member
May 5, 2014
2,740
1,599
ccm nini?? Ukijibu hilo swali ndio utajua hiyo laana unayoisemea, damu ya chacha wangwe inazidi mkutesa mwenyeki wa chadema,

Kivipi mkuu? Hebu tufafanulie unaonekana una ushahidi wa kutosha kuhusu kifo cha Wangwe. Tiririka huenda tukapata pa kuanzia
 

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,347
3,624
Acha hisia, ngedere na kuku wametoka wapi hapa.

Narudia tena, tunachagua kiongozi bora sio bora kiongozi.
 
9 Reactions
Reply
Top Bottom