Ni laana kuichagua tena CCM, Mungu atailani ardhi yetu

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Hivi utajiri wa Mtei mkwewe Mbowe na Ndesamburo waliutowa wapi?

Juhudi zao binafsi, syo hao wengine mtu Anakuwa bilionea Ktk kipindi cha mwaka 1 wapi na wapi
 
Kama chama kilochowaahidi Watz maisha bora na wameishia kupata mateso na shida lukuki na leo hii majitu hayo hayo yameiba mali nyingi za umma yanatudanyanya eti yataleta mabadiliko no way jamani tunabadilisha mwimbaji lakini wimbo ni ule ule na kutoka bendi ile ile!!!
 
CCM ni chama makini chenye watu wengi wenye sifa za uongozi, daima kitaendelea kuchaguliwa

Duh haya we si unaufaidi mfumo uliopo madarakani ila angalia trend ya wachangia hoja utajiona wewe una kasoro na ni mbinafsi ila ipo siku mtaondoka
 
Ni mawazo yangu tu, kwa takribani miaka zaidi ya 50. CCM imejichotea utajiri wa nchi yetu na kugawanya miongoni mwao.

Tumepigika mno, sasa ni wakati wa kuamua kupisha vyama vingine.

UKAWA!!!! Tumaini letu!!

Don't forget Politics is always dynamic
 
Juhudi zao binafsi, syo hao wengine mtu Anakuwa bilionea Ktk kipindi cha mwaka 1 wapi na wapi

Kwa hiyo mwenye juhudi binafsi yuko upinzani tu?

Kwa mtazamo huo, ndiyo maana siku zote mtaendelea kuwa wapinzani tu.
 
Kwani CCM wao siyo watanzania? Inatumiaje ujinga na umaskini wa watanzania? Au ccm ni wageni? Kama wao siyo wajinga basi acha waendelee kutawala hawa wajinga na maskini ukiwemo wewe. Mimi ni mtanzania ila siyo mjinga wala maskini.

Nimeipenda hii Mwenye akili ndogo hawezi kukuelewa mkuu
 
Ni mawazo yangu tu, kwa takribani miaka zaidi ya 50. CCM imejichotea utajiri wa nchi yetu na kugawanya miongoni mwao.

Tumepigika mno, sasa ni wakati wa kuamua kupisha vyama vingine.

UKAWA!!!! Tumaini letu!!

Ni kwl Mkuu lakini hao Ukawa wenyewe hawaeleweki.. Hawana mbele wala nyma, kuxhto wala kulia
 
Back
Top Bottom