Ni kweli Zanzibar ukinunua umeme wa buku unapewa units 4 hadi 6?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,908
Nimeona hii comment na mdau huku jf kuwa wakat sisi tukinunua umeme wa 1000 tukipewa units 2 wenzetu huko Zanzibar wananunua wanapewa units 4 hadi 6

Comment yenyewe ni hii hapa naomba kujua ukweli wa hili

Ni kama kweli wazanzibar wanalipa umeme kwa serikali ya zanzibar ambayo yenyewe inapewa umeme bure na bara, ndiyo maana umeme zanzibar ukitoa sh 1000 unapata unit kama 4.6 au 6.2 wakati huku bara sh 1000 unapata unit 2.7 hivi
 
Ndugu wa mke akinunuliwa gauni jipya hutakiwi kununa,

Ndugu wa mume hadeki.

Nyikani ni kiumeni, kula Kwa JASHO ni LAZIMA.
 
Back
Top Bottom