Ni kweli watu wenye ulemavu wanapewa priority kwenye vyuo?

Ni kweli watu wenye ulemavu wanapewa priority kwenye vyuo?

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,314
Habari Wakuu!
Ningependa Nipewe Ufafanuzi
Kwa Mtu Mwenye Ulemavu Kwa
Mfano Na Rafiki Yangu Kipenzi
Ana "Monocular Vision" Yaani
Anaona Kwa Kutumia Jicho Moja
Sasa Ameniuliza Kwenye Kipengele
Cha Disability Pale Kwenye Kuomba
Chuo Hamna Category Ya Tatizo Hili( Monocular Vision) Au" Partially Impaired".
Amefaulu Kwa Two Ya Kumi Na Moja( 11) Na Ndoto Zake Ni Kusoma
"LAW" Udsm.
Je Hapo Kwenye Category Ya Disability Afanyaje?
Je Kutokana Na Tatizo Lake Anaweza Kupewa Kipaumbele Cha Kuchaguliwa Kwa Ufaulu Wake?
Naomba Tumsaidie Kwa Ushauri Wakuu.
 
Wanapewa kipaumbele kwenye kuchaguliwa endapo watakuwa na ufaulu unaolingana na wenzao wasiokua walemavu.

Na akifika chuoni kama alinyimwa mkopo chuo kinaweza kumruhusu asome nakupewa accomodation bila ya kutoa chochote,na pia pesa za matumizi anawezakusaidiwa na uongozi wa chuo husika.Yote hayo yanategemea na mlemavu mwenyewe,akiwa sio mtu wakujenga hoja hawezi kunufaika na yote hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendeleo unatokea kwa mlemavu ikitokea tu....
1/Amefikia sifa za msingi za kujiunga na kozi husika katika chuo.

2/Kama anashindana kupata nafasi ambayo ina watu wengi wenye sifa zinazofanana na yeye.

3/Kupata mkopo.
 
Shukrani Za Dhati Kwako Mkuu!
Ila Kwa Ukiangalia Na Mazingira Niliyobainisha Hapo Juu Inakuwaje?
 
Upendeleo unatokea kwa mlemavu ikitokea tu....
1/Amefikia sifa za msingi za kujiunga na kozi husika katika chuo.

2/Kama anashindana kupata nafasi ambayo ina watu wengi wenye sifa zinazofanana na yeye.

3/Kupata mkopo.
Ahsante Mkuu!
Lakini Kwenye Mada Yangu Hapo
Kwenye Kipengele Cha "Disability"
Ambapo Muombaji Wa Chuo Anatakiwa Kujaza Yeye Ajaze Category Gani? Maana Kuna "Visually Impaired" Tu Na Sio "Partially Impaired" ?
 
Mkuu Mtu Asiye Msomi Angejuaje
Kuandika " Metakelfin" ...?
mkuu kaelimu kangu ka kidato cha sita tu nikaingia kwenye biashara nilipiga dili moja nkanunua oven na mixer nkaanza ktengeneza mikate ya aina mbalimbali imekaa kisasa zaidi ni tofauti na ya dukani kisha nkaendlea na vitafunwa. vingne eggchop,maandazi,rockburn,popcorn,bagia za dengu,kalmati pia vyakula vya sherehe ila i hope nataka npate mwongozo niendelee na shule maana nilifaulu ila ndo hvyo nlikamatia fursa so kuandika metakelfin hata sisi ambao sio wasomi tunaweza
 
Ha Ha! Mkuu Mi Nilidhani Utaniambia
Standard 7 Kumbe Form Six Leaver
Tena Mwenye Upeo Mpana Kiakili
Kwa Kuchangamkia Fursa Na Kujiajiri
Mwenyewe. Namaliza Kwa Kukuita
We Ni Genius On Your Own Way.
 
Nashauri aweke iyo visual impairment na aombe UDSM ila Law aache atafute kozi zingine!!! Ni mahali sahihi UDSM wanajali sana Wenye matatizo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Wanatoa kipaumbele.
Lakini awe na sifa za kudahiliwa ata kama ni mlemavu
Vipaumbeli ni kwenye accomodation na loan frm heslb and similar others
 
Back
Top Bottom