Ni kweli Watekaji hawajulikani?

Ni kweli Watekaji hawajulikani?

Mdude_Nyagali

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
84
Reaction score
1,494
Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza.

Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani. Anasema gari lilisimamishwa na askari wa Usalama barabarani kwa kosa la kuzidisha mwendo Chimala, mmoja wa askari akamsogelea dereva na kumfokea kwamba kwanini anazidisha mwendo ambao ni hatarishi? mmoja wa watekaji akashusha kioo kidogo na kumuonyesha askari huyo kitambulisho. Baada tu ya kuonyeshwa kiitambulisho askari huyo alikuwa mpole na kuruhusu gari haraka.

Gari ilivyofika Igawa likakamatwa tena kwa wrong overtaking, tena askari mkamataji wa safari hii alikuwa na cheo cha Inspector. Askari huyo alikuwa mkali kwa dereva kwamba kwanini anaovateki eneo ambao haliruhusiwi kuovateki? Lakini alipooneshwa kitambulisho tu akakausha na wala hakutaka majibu ya swali lake zaidi ya kuruhusu gari liondoke haraka.

Je ni kweli watekaji hawajulikani kama wanavyosema polisi, waziri wa mambo ya ndani na Rais Samia? Kwani nikisema Samia ndio mtekaji na kikosi hiki cha kuteka kina baraka zake nitakuwa sahihi?
 
Attachments

  • 20241018_110909.jpg
    20241018_110909.jpg
    41.6 KB · Views: 31

Kamanda wao kwa sasa ni mzanzibari ABDUL
 
hautakuwa sahihi kama unaushahidi nenda katoe taarifa polisi siyo kuropokaropoka tu hovyo hujitambui wewe kijana wa hovyo sana hufai katika jamii ya wastaarabu
 
Kamanda wao kwa sasa ni mzanzibari ABDUL

Kama watoto wa Saddam Hussein kule Iraq na wa kanali Muammar Ghaddafi nchini Iraq walivyokuwa wamejivisha madaraka ya wazazi wao ikawa mtaani na nchini mwao shida historia inaonesha.

Genge hilo lilipelekea nchi kuwa na wananchi wenye hasira kali hadi kupindua serikali mpaka hadi leo mataifa hayo yamegawanyika vipande huku wananchi wakipigana wenyewe kea wenyewe

Tanzania nayo iwe makini na watu hawa wasiojulikana walioibuka utawala wa awamu ya tano, na hadi leo awamu ya sita kimeota mizizi

Watawala wasipowa wadhibiti watu hawa nchi itavunjika vipande vipande mikononi mwao huku tunaona tukirejea historia ya nchi zilizolea watu wasiojulikana kuongoza magenge ya kiuhalifu kwa kusingizio cha kulinda waliopo madarakani .
 
mbowe yupo wapi mbona kawa kmya sana? au yupo busy anapanga balaza la mawaziri?
Mbowe yupo na makahaba huko South africa anakula bata kwa pesa zake za kampuni yake ya chadema
 
Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza.

Anadai gari hilo lilikuwa linaendeshwa kwa kasi mno kuliko ambulance huku dereva akipuuza kuzingatia alama za usalama barabarani. Anasema gari lilisimamishwa na askari wa Usalama barabarani kwa kosa la kuzidisha mwendo Chimala, mmoja wa askari akamsogelea dereva na kumfokea kwamba kwanini anazidisha mwendo ambao ni hatarishi? mmoja wa watekaji akashusha kioo kidogo na kumuonyesha askari huyo kitambulisho. Baada tu ya kuonyeshwa kiitambulisho askari huyo alikuwa mpole na kuruhusu gari haraka.

Gari ilivyofika Igawa likakamatwa tena kwa wrong overtaking, tena askari mkamataji wa safari hii alikuwa na cheo cha Inspector. Askari huyo alikuwa mkali kwa dereva kwamba kwanini anaovateki eneo ambao haliruhusiwi kuovateki? Lakini alipooneshwa kitambulisho tu akakausha na wala hakutaka majibu ya swali lake zaidi ya kuruhusu gari liondoke haraka.

Je ni kweli watekaji hawajulikani kama wanavyosema polisi, waziri wa mambo ya ndani na Rais Samia? Kwani nikisema Samia ndio mtekaji na kikosi hiki cha kuteka kina baraka zake nitakuwa sahihi?
Watekaji wote wanajulikana. Kwa sababu wana IDs. Kwanini hawakamatwi hili ndo swali la msingi!
Kifupi watekaji wapo rasmi kwenye operation maalumu kudhoofisha upinzani na wenye mawazo kinzani!
Tatizo linakuja kuwa upinzani badala ya kuchukua hatua wao wanalia lia... Wananchi uoga umezidi hawataki kuingilia masuala ya serikali!
 
Huwezi fanya tuishi kwa uoga kwenye nchi yetu. Hela mnakula wenyewe na familia zenu, passport zinatolewa kwa manati, ajira nazo za kugombania yani kila kitu kwa raia ni shida na bado uhai wetu mnataka kuutawala?
 
Back
Top Bottom