Ni kweli Watanzania tuna matatizo ya ushababi na uwezo mdogo wa kufikiri

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,877
20,731
Nimemsikia Rais Samia akiiagiza Wizara ya Afya ifanye Utafiti kuhusu matatizo yanayo wakumba Watanzania hasa Vijana ya uwezo wao mdogo wa kufikiri na ushabibi.Naomba niseme hivi,tatizo hili ni la muda mrefu sana,ni kubwa sana,na ni mpango mahususi na wa makusudi.
Fuata link ifuayo uone mpango huu,

Naomba niseme hivi pia,Serikali imekumbuka shuka wakati kumekucha,it is simply too late,uharibifu umeshafanyika.Nikumbushe kwamba tatizo hili halipo Tanzania tu,bali ni la Dunia nzima.
Mpango huu umeasisiwa na kuandaliwa na tunao-waita New World Oder(NWO) Globalists/Cabal au na The World Economic Forum(WEF), wakiwa ndio watekelezaji wakubwa wa mpango huo muovu kabisa kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Wanadamu.

Mpango huu unatekelezwa kwa siri kubwa kwa kutumia mbinu mbali mbali ambazo zimeingizwa kwa siri kubwa,nia ikiwa tusijue kinachoendea.Mbinu hizo ni kama zifuatayo:
1.Chanjo.
2.Uzazi wa mpango(Planned Parenthood)
3.Medication
4.Plastic za aina zote.
5.Paints
6.Chlorination in Water
7.On the shelf foods including GMO foods, Sodas,juices,the so called Energy Drinks,Sweets nk.nk.
8.GMO crops
9.Toothpastes
10.Roofing materials kama Aluminium sheeting materials
11.Fertilizers
12.Insecticide residues ambazo zipo kwenye cropping systems zetu
13.Herbicides residues kama za Glyphosate ambazo zipo kwenye cropping systems zetu.
14.Alluminium Silicate(Shabu) use in Water.
15.Simu,Smartphones zikiwa ndizo mbaya zaidi.
16.Dawa za Vyandarua a.k.a Ngao.

It is unbelievable that mtu unaweza kukubali kulala ndani ya Chandarua kilichowekwa sumu na wataalamu including TBS wanakubali na kushauri tuvitumie!Lipo jambo ambalo halipo sawa kabisa.
17.Mikakati mingine mbali mbali ya Mind Control kama fear creation kwa kutumia mbinu mbali mbali kwenye jamii.
18.Electrification of our atmosphere which inturn distabilizes our Nervous System.

Hata hivyo ni lazima jamii iweze kutofautishe kati ya matatizo ya Afya ya Akili yanosababishwa na ushirikina na magonjwa ya Afya ya Akili yanayoletwa na vitu nilivyo-viainisha hapo juu.Jamii na wataalamu wetu lazima waelewe kwamba matatizo ya Afya ya Akili hayarithiwi.Madai
kwamba matatizo ya Afya ya Akili yanarithiwa ni mkakati muovu wa the NWO cabal to shift blame.Madai hayo ni ya kughushi,na hayajawahi kuwa-proved kisayansi.

Mbinu hizi ovu ndio chanzo cha magonjwa mengine yasiyotibika kama Diabetes,Cancers,Heart Diseases nk..

Najua list hii haita ipendeza serikali na hata wahusika wakuu,yaani NWO agents,morons and minions,lakini hatuna budi kusema,ili kuiponya jamii na nchi yetu.

Kama kweli Wizara ya Afya ina nia ya kuwasaidia Watanzania ambao labda watakuwa hawaja athirika,waanzie huko.

Niseme hivii,haya ni maeneo machache tu ambayo yanatusababishia matatizo tuliyo nayo,na nirudie tena,ni kwa makusudi.Niseme bila kuficha,na sitishi,tumezunguukwa na sumu kila upande.Katika hili NWO hawakuficha,wamesema wazi kwamba tutazunguukwa na sumu kila upande.Soma


Magonjwa yanayoitwa YASIYO TIBIKA na matatizo tunayoyaona kwenye jamii yetu mengi hasa kwa vijana,chanzo chake kikubwa ni sumu za aina mbali mbali zilizoko kwenye mazingira na kwenye vitu nilivyotaja hapo juu na vingine vingi.

Tuliingiziwa vitu hivi kwa siri tukidanganywa kwamba ni kwa faida yetu na havina matatizo yeyote,kumbe ni mipango ya makusudi ya kutudhuru.Sumu hizo ni mbaya hata in small quantities.Ni ujinga kuamini kwamba kuna kiwango kidogo kidicho na madhara(Lethal Dose).

Lazima nikubali kwamba hatukuwa wadadisi na makini,we are solely responsible for the precarious situation we find ourselves in.Hata sasa tunakumbwa na tatizo hilo,hatuna udadisi kabisa,tunapokea kila kitu kutoka nchi za Magharibi na nchi zingine kama China,tukiamini kwamba wanatutakia mema, kumbe ni adui zetu wakubwa.Ukweli ni kwamba wangetamani tusiwepo kabisa.Ni lazima tuamke.

Tutatokaje hapo?Lazima niseme ni vigumu sana kutoka mahali tulipo sasa,na inawezekana ikawa haiwezekani kabisa,pamoja na kwamba Rais kaipa amri Wizara ya Afya ifanye Utafiti imrudishie majibu.Ni vigumu sana kushuhulikia matatizo haya kwa kuwa mfumo wa maisha ambao unahusisha vitu vinavyotuletea matatizo haya umekuwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mrefu sana. Kwa hiyo kuamini kwamba mifumo hiyo sio yenyewe ni fake na ni usanii na utapeli ni vigumu sana.Kwa bahati mbaya,mifumo hii fake na ya kisanii,imeingizwa hata kwenye imani zetu.Ni vigumu pia kwa kuwa hata watu wakiambiwa chanzo cha matatizo yetu,wanasema ni conspiracy theories,bila wao kujua kwamba hata concept ya conspiracy theories imeundwa na hao hao NWO cabal,ili kuficha uovu wao! Kwa mfano hata hewa tunayovuta imeharibiwa tena kwa makusudi by what are called Chemtrals,tutaisafishaje?Kwangu sioni uwezekano.

Fuata link zifuatazo ulione hili.Hata Graphene Oxide wameweka kwenye anga letu na mvua ikinyesha inachanganyika na maji,na kwa hiyo ipo kwenye maji tunayokunywa and is a deadly poison,tutaponaje?Tunahitaji neema tu ya Mungu kwa kweli.




Kilichofanywa na the NWO Cabal naweza kusema is a Grand Illusion na hao ndio wanaotawala serikali zetu za Dunia.So Rais Samia alichoiagiza Wizara ya Afya ifanye ni kinyume na mipango ya wanaoitawala Dunia,the NWO Cabal.The NWO Cabal au WEF watalipokeaje agizo hilo is a very important question to contemplate and ponder,ila sidhani kama watalipokea favourably kwa kuwa linakwenda kinyume na malengo yao ya depopulation and zombification,kwa hiyo linaweza kuishia hewani,afterall hata utekelezwaji wake ni mgumu.
 
Nimesikia serikali imetoa an estimate figure of 7 million Tanzanians living with metal health problems.

Sijui serikali imetumia mbinu gani kuja na hiyo figure ya 7million,lakini kwangu mimi that is a very conservative figure,labda ingekuwa vizuri na busara wananchi tumesmbiwa serikali imepataje hiyo figure,kwa kuwa the problem seems to be extremely huge,hasa kwa vijana.Vijana wetu kiukweli hawaeleweki kabisa,they are not with us,ni kama wapo kwenye sayari nyingine hivi.Niseme hivi,they are way out of the normal,kipo kitu kigeni ndani yao!
 
Back
Top Bottom