Ndio upande wa IT jirani wako vizuri kuliko sisi,hili halina ubishi
sana.Alafu kingne wakenya toka mwanzo waliwekeza sana upande wa masomo ya sayansi, ndo maana utakuta waliosoma sayansi ni wengi sana kuliko wa art.. Afu kingine Tanzania tulikua mstari wa mbele kuendeleza lugha ya kiswahili wakati wa kenya kipindi wao waligoma kabisa kuwa kiswahili iwe lugha ya kufundishia. Ndo magape yalipoanza hapo wengi wao wameenda sana kusoma abroad! Kulinganisha na sisi. Mara ya kwanza nimefika uingereza nimewakuta wakenya ni wengi sana. POINT YANGU YA MSINGI NI HAPO JUU, WAKENYA WALIWEKEZA SANA KWENYE Sayansi.
wee mwenyewe umehitimisha kwa kutuhaminisha kuwa wanatushinda..wewe ulitumia kigezo gani mkuuumeangalia kigezo gani hapo?
technology ya nini mzee, ya wizi? na ni wakenya wepi? wajaluo, wakamba, wakikuyu (pesona non grata wa tz), wakisiii au wa wapi?habari ya boxing day wakuu?
Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT.
Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani yupo juu kitechnolojia kati ya wakenya na watanzania kila mtu amekuwa akisifia nchi yake ipo juu zaidi ya nyingine bila hata ya kutoa mifano je ni technolojia ipi ambayo wamevumbua?
Chukula mfano kwamba kenya wapo juu ya watanzania je ni kweli sisi tunashindwa kufikia level ya wakenya? kwanini tusiwaalike kwenye camps ambazo zipo tanzania na kuja kutufundisha? kwanini wasiwe wanaandika hapa jukwaani hatua ambazo walizitumia kufikia hapo walipo?
mchango wako ni muhimu sana ili watu wayatumie mawazo yako kubadilisha fikra katika uwanja wa technolojia.
Siyo kweli kwamba wakenya walisoma sayansi na sisi kiswahili kumbuka wakenya walikubali kukumbatia ubepari (capitalist) elimu ya kimagharibi na ss tilikumbatia ujamaa (comminist) elimu ya kijamaa kutoka USSR sasa UrusiAlafu kingne wakenya toka mwanzo waliwekeza sana upande wa masomo ya sayansi, ndo maana utakuta waliosoma sayansi ni wengi sana kuliko wa art.. Afu kingine Tanzania tulikua mstari wa mbele kuendeleza lugha ya kiswahili wakati wa kenya kipindi wao waligoma kabisa kuwa kiswahili iwe lugha ya kufundishia. Ndo magape yalipoanza hapo wengi wao wameenda sana kusoma abroad! Kulinganisha na sisi. Mara ya kwanza nimefika uingereza nimewakuta wakenya ni wengi sana. POINT YANGU YA MSINGI NI HAPO JUU, WAKENYA WALIWEKEZA SANA KWENYE Sayansi.