King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,150
- 98,577
hakuna ukweli wowote ,subiri msimu wa masika kwanza....Kuanzia 08 March Mpaka 31 May kama isiponyesha ndiyo tutaamini.Jee ni kweli wachina wamezuia mvua isinyeshe Dar kwasababu ya ujenzi unaoendelea?
Haya maneno yanasemwa sana mitaani kuna ukweli hapo?