Sasa si bora wangezuia na jua ili wafanyakazi wao wasichoke haraka?Jee ni kweli wachina wamezuia mvua isinyeshe Dar kwasababu ya ujenzi unaoendelea?
Haya maneno yanasemwa sana mitaani kuna ukweli hapo?
Mbona ujenzi haujawahi kuisha Dar!Jee ni kweli wachina wamezuia mvua isinyeshe Dar kwasababu ya ujenzi unaoendelea?
Haya maneno yanasemwa sana mitaani kuna ukweli hapo?
ni kweli wakaguliwe hawa! maana wanarusha ma chemical usku bila hivyo miradi yao itajaa maji kama pale jangwaniJee ni kweli wachina wamezuia mvua isinyeshe Dar kwasababu ya ujenzi unaoendelea?
Haya maneno yanasemwa sana mitaani kuna ukweli hapo?
Haiwezi kuwa kweli japo nimeshangaa sana , nimeingia Dar tokea mwezi wa kumi mwishoni mpaka sasa sijaona mvua ya kutisha na kubwa hata siku Moja jambo ambalo ni ajabu sanaJee ni kweli wachina wamezuia mvua isinyeshe Dar kwasababu ya ujenzi unaoendelea?
Haya maneno yanasemwa sana mitaani kuna ukweli hapo?
Ndio inatokana na Mungu , na sidhani kama Kuna teknolojia ya kuzuia.Mvua si inatoka kwa Mungu jamani au siku hizi tunataka kubishana na vitabu?
Mkuu hii sayansi ya kuzuia mvua , tukipata tishio la el nino tunatoboa?Ni kweli kabisa.
January nzima mvua haijawahi nyesha hata kidogo.
Na February inaelekea kuisha bila mvua hata tone.
Science ya kuzuia mvua ipo sana tu.
Kwasababu hauna uhakika na hizo teknolojia ni ngumu sana kupinga madai ya mtoa mada.Ndio inatokana na Mungu , na sidhani kama Kuna teknolojia ya kuzuia.
Ila hoja yako umeweka kwenye mjengo dhaifu maana hata kifo na riziki zinatokana na Mungu ila binadamu anaweza kuwa kisababishi na kufanya asbabu mbalimbali kupelekea jambo hilo
Mvua inatoka kwa Mungu?, wanasayansi wangekuwa na imani mbovu kama hizi sidhan hata hizo simu zenu mngekuwa nazo.Ndio inatokana na Mungu , na sidhani kama Kuna teknolojia ya kuzuia.
Ila hoja yako umeweka kwenye mjengo dhaifu maana hata kifo na riziki zinatokana na Mungu ila binadamu anaweza kuwa kisababishi na kufanya asbabu mbalimbali kupelekea jambo hilo