optico
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 267
- 309
Nimesikia tetesi kuwa vibali vimetoka lakini mkeka haujawekwa hadharani, sasa tamisemi hawaoni hii itatengeneza mwanya wa mabosi wa Halmashauri kuficha barua na kuwanyima watu haki zao?
Ingependeza kama mkeka ungewekwa hadharani ili wahusika wakapambane na maboss waachie.
Ingependeza kama mkeka ungewekwa hadharani ili wahusika wakapambane na maboss waachie.