Tokea nkiwa primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu wana mila na desturi ambayo naona ni zaidi ya maajabu,inasemekana mtoto wa kike asipoolewa hasa kuanzia miaka 25,30 na kuendelea na ikatokea bahati mbaya kafariki,wanaukoo hua wanakaa kikao na kutoa ng'ombe kadhaa kwa mwanaume atakaye mlala huyo mfu ili kuondoa nuksi kwenye ukoo!,la ajabu zaidi nasikia pia wanaume katika eneo husika hugombania kupata tenda hiyo,jaman ni kweli wana wa kaskazin na kanda ya ziwa?,tujuzeni ama tuondoleeni huu ukungu......

mh kali basi that why mambo ya ajabu yanazidi kuongezeka kama kuna kulala na maiti basi sodoma imehamia hukonimesikia tena wengne walienda mbali mpaka kutaja ndugu zao kama wahusika,wengne walinambia hata BBC wamewahi kufanya hiyo coverage
Sina uhakika na mila na desturi hizo ila kuna uhusiano wa jambo kama hilo, kuwa katika dini ya kiislamu endapo mume umauti utamfika ili hali uume ukiwa umesimama basi mke atawajibika kufanya tendo la ndoa na mumewe hadi uume huo utakapo sinyaa na logic hapo ni kuwa huenda kwa kufanya hivyo mbegu hizo huenda zikaacha kiumbe hai duniani hivyo ndivyo ninavyofahamu mimi.(Angalizo hii ni kwa wanandoa si kwa mtu yeyote).Nawasilisha.

Japo umetumia lugha ya kusikia kujihami na makombora lakini wewe ni miongoni mwa watu vilaza sana duniani, sisemi hivyo kwa kuwa natokea kanda ya ziwa, nasema kwa sababu karibia kila kabila lina utamaduni wake na kanda ya ziwa ina makabila mengi sana! ukashindwa kuuliza ni kabila gani hilo au ni makabila yapi hayo na ni ya mkoa upi toka shule ya msingi unadanganyika hadi leo umezeeka ndio unauliza swali ambalo hata mwanao hawezi kuuliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tokea nkiwa primary,secondary,chuo,kazin na mtaani kwa ujumla nimekua nikisikia si mara moja kua kuna makabila hasa kaskazin na kanda ya ziwa nchini kwetu wana mila na desturi ambayo naona ni zaidi ya maajabu,inasemekana mtoto wa kike asipoolewa hasa kuanzia miaka 25,30 na kuendelea na ikatokea bahati mbaya kafariki,wanaukoo hua wanakaa kikao na kutoa ng'ombe kadhaa kwa mwanaume atakaye mlala huyo mfu ili kuondoa nuksi kwenye ukoo!,la ajabu zaidi nasikia pia wanaume katika eneo husika hugombania kupata tenda hiyo,jaman ni kweli wana wa kaskazin na kanda ya ziwa?,tujuzeni ama tuondoleeni huu ukungu......
kwa sababu mleta thread hajielewi.
UNAWEZAJE kusema watu wa kanda ya ziwa na kazisikazini wote wawe na utamaduni sawa?yaani makabila machache nayoyajua.
Wamasai,wachaga,wapare,waarusha,wakurya,wazanaki,wajita,wahaya,wasukuma.
SASA HAWA WOTE NI WA KANDA YA ZIWA NA KWA MJIBU WA THREAD YAKO ILIYOKOSA VIELEZO UNAWAJUMULISHA KUWA WANAFANYA HILI.
naanza mimi,kwetu usukumani hatuna tamaduni ya kijinga hivi.
pia inawezekana ulisikia tukio wewe ukajua ni utamadamu.
I don't think so,hilo jambo kifupi halipo,haiwezekani pamoja na uhatari wote lisipigiwe kelele na nilisikie mara ya kwanzwa hapa.Ukeketaji tu kila siku unaripotiwa na kupigwa vita sembuse hili.
Japo umetumia lugha ya kusikia kujihami na makombora lakini wewe ni miongoni mwa watu vilaza sana duniani, sisemi hivyo kwa kuwa natokea kanda ya ziwa, nasema kwa sababu karibia kila kabila lina utamaduni wake na kanda ya ziwa ina makabila mengi sana! ukashindwa kuuliza ni kabila gani hilo au ni makabila yapi hayo na ni ya mkoa upi toka shule ya msingi unadanganyika hadi leo umezeeka ndio unauliza swali ambalo hata mwanao hawezi kuuliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unapo post kitu ukaonyesha watu wewe ni msomi unakuja na vitu vya ajabu kama hivi sipati picha ubongo ulio nao ukoje? kweli duniani kuna watu na viatu! ehm rudia anapo fariki wanafanyaje? yaani hata wanao kudanganya wanakudharau sana! i'm sorry Mungu ni samehe najua hawa umewaweka tupate jifunza kupitia wao kuwa wewe ndio kila kitu!!!!!