Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,226
- 5,839
Je kama ni Mwanachama wa Ccm?Serikali ya Jamuhuri ya Muungano Imeshindwa kabisa kumuthibiti Zumaridi au serikali iko likizo kama anavyosema Polepole mpaka yatokee ya kibwetele ndo mtakulupuka mbio aya ni maajabu ya Tanzania Gwajima kafungiwa makanisa yake lakini Zumaridi yuko anadunda