Happy nation
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 679
- 591
Nimejaribu kuangalia hatua zilizochukuliwa katika kipindi cha mwaka mmoja, wewe toa mawazo yako kama serikali inapiga vita wafanyabiashara (matajiri) au la.
1. Serikali imetoa hela yake kwenye mabenki.
2. Serikali imeacha kulipa madeni ya ndani (pembejeo,wakandarasi n.k)
3. Serikali iliamua kazi za ujezi itoe kwa wakala wa ujenzi.
4. Serikali iliamua kutoza VAT kwenye usafiri (transit good) na utalii.
5. Serikali inataifisha mashamba makubwa(pori).
6. Serikali imeruhusu wamachinga kuuza kwenye mitaa nyeti katikati ya miji.
Hizi hatua zina tafsiri gani kwako?