Ni kweli serikali haina chuki na wafanyabiashara?

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
Nimejaribu kuangalia hatua zilizochukuliwa katika kipindi cha mwaka mmoja, wewe toa mawazo yako kama serikali inapiga vita wafanyabiashara (matajiri) au la.

1. Serikali imetoa hela yake kwenye mabenki.

2. Serikali imeacha kulipa madeni ya ndani (pembejeo,wakandarasi n.k)

3. Serikali iliamua kazi za ujezi itoe kwa wakala wa ujenzi.

4. Serikali iliamua kutoza VAT kwenye usafiri (transit good) na utalii.

5. Serikali inataifisha mashamba makubwa(pori).

6. Serikali imeruhusu wamachinga kuuza kwenye mitaa nyeti katikati ya miji.

Hizi hatua zina tafsiri gani kwako?
 
Kwa kweli sijui wanawaza nini!? Unaposema unataka kujitegemea kwa kukusanya Na kusimamia KODI Na kuhakikisha kila mmoja wetu anayestahili kulipa kodi anafanya hivyo. Nashindwa kuelewa 'How do You intends to Tax Poor people?
 
Yamkini serikali ilikua na nia njema sema hawajajua athari yake. Pia inabidi ieleweke ukimkoa tajiri maumivu ni kwa masikini..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom