Muhongo amaziba mianya ya wizi ya wafanyabishara wasiokuwa na uzalendo ndiyo maana kutwa wanamtafuta angalia mengi na mkono wanavyomwandama kisa tu mengi amekosa kitaru cha gesi na mkono kuondolewa kuwa advocate wa Tanesco baada ya kubaini kuwa anafanyabishara badala ya kuitetea Tanesco.
na nyie mamburumunda mlio tumwa kuja kuweka mambo sawa huku tumewachoka sasa kwa ujinga wenu , mmekaza mamisuli kumtetea mtu muongo wa wazi kabisa! Tokeni zenu na ujuha wenu.
makosa ya prof ni kulidanganya bunge kwa kusema fedha za escrow si za umma, na kauli hii iliirudia mara kadhaa, ninaamini kwa kuwa sakata hili ni la muda na limejitokeza bungeni mara kadhaa hivyo viongozi wote waliohusika walikuwa wakikutana na kujadili suala hili na maelezo ya prof kung'ang'ania kauli yake ni dhahiri ilikuwa kutii kiapo chake cha kutokutoa siri. Na ndio sababu niionayo mimi ag alisema atasimama na wote waliofuata ushauri wake. Binafsi hilo ndilo nilionalo kosa lake kutii kiapo kwenye hamna. Ama kwa upande wa pili naona anasakamwa na wivu, chuki naye kwa jinsi alivyoweza kuwanyima wafanyabiashara mwanya wa kujitwalia rasilimali zetu kwa manufaa yao binafsi, pia ile kujiamini kupita kiasi kupelekea kuwapa makuvu live baadhi yao na baadhi ya wanasiasa wanaotumiwa na wafanyabiashara hao. Lakini kwa utendaji kazi ndani ya wizara tangu wizara hii ianzishwe ame-transform mambo mengi ya wizara kulko mawaziri waliomtangulia.
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.[/QUO
TE]
MENGI MNAFIKI TU,ANATAKA FAVOUR KWA RASILIMALI ZETU ALAFU BAADAYE ANAJIFANYA ANASAIDIA JAMII YETU ALAFU KWA KUJIONESHA KWENYE VYOMBO VYAKE ILI APATE SIFA.MBONA KWANZA BIASHARA HALISI YA MENGI HAIKO WAZI KAMA BAKHARESA.USINIAMBIE MAGAZETI,RADIO,TV NA MAJI!
Mbona umesahau kusema kwamba tangu ateuliwe katika Wizara hiyo Tanesco imekuwa ikipata hasara zaidi ya mara mbili na chini ya Mawaziri wengine, licha ya kwamba aliongeza bei ya umeme maradufu na kufanya kupanda kwa gharama za maisha nchini?!
Ova
Chuki zenu na mengi kwa muhongo zitawafikisha pabaya sana ila mungu atasimama na muhongo daima hana kosa ni hujuma na fitina za wafanyabiashara mafisadi waliobanwa kuinyonya wizara ndiyo chanzo cha muhongo kuchukiwa.[/QUO
TE]
MENGI MNAFIKI TU,ANATAKA FAVOUR KWA RASILIMALI ZETU ALAFU BAADAYE ANAJIFANYA ANASAIDIA JAMII YETU ALAFU KWA KUJIONESHA KWENYE VYOMBO VYAKE ILI APATE SIFA.MBONA KWANZA BIASHARA HALISI YA MENGI HAIKO WAZI KAMA BAKHARESA.USINIAMBIE MAGAZETI,RADIO,TV NA MAJI!
mengi mwizi tu wa mali zetu halafu anajifanya kula chakula na albino anafunika maovu yake kibao huyu mzee mbaya sana.
kwa jinsi escrow ilivyoshupaliwa na wabunge huku wakisakamwa watu wawili tu waliokwishatoautiana na wafanyabiashara
kama mengi huhitaji kujiuliza maswali kuwa wameonewa
mwenzako zitto alikuwa anapiga anapiga siasa halafu na wewe umemeza kama yalivyo aibu yako wanasiasa uchwara watawapeleka kubaya mwaka huu ila kiukweli hata mimi naungana na wote wanaopenda muhongo abaki.
Toka Bunge limalize kazi yake juu ya Escrow kumekuwa na mijadala mizito hasa humu Jf huku wengi wakimtetea Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo kwamba anasakamwa na baadhi ya watu wenye maslahi binafsi. Sasa kwa wale mliofanikiwa kusoma vizuri taarifa ya CAG na kupitia ile ya PAC na mjadala wa bungeni. Tuwekeeni makosa ya mh Prof Mhongo na wale mnaoamini hana makosa toeni utetezi. Kama hujaelewa vema suala la Escrow usichangie usichojua. Karibuni wajuzi.
mengi mwizi tu wa mali zetu halafu anajifanya kula chakula na albino anafunika maovu yake kibao huyu mzee mbaya sana.
Mkuu wewe toa live madhambi ya Mengi na maGT hawatamsamehe
Lakini msitutoe katika target ya kumuwajibisha Profesa Mwongo
Pengine angepata sympathy ya wazalendo lakini kwa dharau alisha sema ni wa upeo wa juisi siye.
Sasa awaite wafadhili wake walioko nje.
Msaidieni katika hili.
Wengine tunaoandika humu ni Form 4 failures kama Ole Sendeka.
Hakuna chuki hapa, kwahiyo nikimtetea kama unavyotaka ndio utaona nimesema vyema? Mengi ni nani katika nchi hii hadi aweze kusababisha waziri afukuzwe?
Huyu bwama muhongo amejipambanua na kujigamba kuwamba ni Booonge la profesa, sasa profesa gani anaruhusu Taifa lipate hasara kubwa kiasi hicho?
Pamoja na kuwa pengine hela nyingi wamepata yeye na Mama Tibaijuka; wamejivika aibu, wamewavika WANAOJIITA wasomi wenzao aibu, wamelivika taifa aibu na Bara zima la Afrika
Wasomi gani badala ya kubuni mradi utakaowafanya wawe mabilionea kwa akili zao mfano wa waliotengeneza simu za mkononi, vifaa tiba, madawa ya ebola na kadhalika, wao wanaanda mpango wa kuwaibia wananchi maskini halafu unataka tuwasifu.
Wewe wasifu na kuwatetea upendavyo lakini usilazimishe kila mtu awe na mtazamo huo
Makosa ya Prof ni kulidanganya Bunge kwa kusema fedha za ESCROW si za Umma, na kauli hii iliirudia mara kadhaa, ninaamini kwa kuwa sakata hili ni la muda na limejitokeza Bungeni mara kadhaa hivyo Viongozi wote waliohusika walikuwa wakikutana na kujadili suala hili na maelezo ya Prof kung'ang'ania kauli yake ni dhahiri ilikuwa kutii kiapo chake cha kutokutoa siri. na ndio sababu niionayo mimi AG alisema atasimama na wote waliofuata ushauri wake. Binafsi hilo ndilo nilionalo kosa lake kutii kiapo kwenye hamna. Ama kwa upande wa pili naona anasakamwa na wivu, chuki naye kwa jinsi alivyoweza kuwanyima wafanyabiashara mwanya wa kujitwalia rasilimali zetu kwa manufaa yao binafsi, pia ile kujiamini kupita kiasi kupelekea kuwapa makuvu live baadhi yao na baadhi ya wanasiasa wanaotumiwa na wafanyabiashara hao. Lakini kwa utendaji kazi ndani ya wizara tangu wizara hii ianzishwe ame-transform mambo mengi ya wizara kulko mawaziri waliomtangulia.
Soma the citizen la leo page no 9 Kuna mtu kamchambua vilivyo Muhongo. Sasa ninajua nyie watu mnaomtetea ni watu wa aina gani ,ni aidha mmetumwa kwa malipo au ni "Wasomi "wa aina yake.
Soma the citizen la leo page no 9 Kuna mtu kamchambua vilivyo Muhongo. Sasa ninajua nyie watu mnaomtetea ni watu wa aina gani ,ni aidha mmetumwa kwa malipo au ni "Wasomi "wa aina yake.