G gast123 Member Joined Feb 25, 2017 Posts 36 Reaction score 19 Jun 19, 2017 #1 et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze
et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,743 Reaction score 11,150 Jun 19, 2017 #2 Ndyo imepanda
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,207 Reaction score 6,786 Jun 19, 2017 #3 Pesa ya ujira baada ya mafunzo au niaje..?
L lupekefd Member Joined May 16, 2017 Posts 7 Reaction score 1 Jun 19, 2017 #4 Imepanda mpaka buku saba sawa na lumumba, ila mshahara sahau, na ajira sahau
goggles JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,415 Reaction score 2,358 Jun 19, 2017 #5 gast123 said: et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze Click to expand... Ndiyo imepanda. Na ukiwa unaendelea na mafunzo yako kwa vitendo utaletewa Noah yako.
gast123 said: et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze Click to expand... Ndiyo imepanda. Na ukiwa unaendelea na mafunzo yako kwa vitendo utaletewa Noah yako.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Jun 20, 2017 #7 huu uzi nimejikuta nacheka tu!!!!
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,476 Jun 20, 2017 #8 Acha kufurahia pungu we. Hujui unajiongezea mzigo wa kulipa baadaye!