[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nyoka mdogo tu lakini wametumia hadi ICBM kumuua asee wabongo buana.
Kuhusu jike na dume kufuatana ni ukweli mtupu japo sina hakika kama ni jamii zote.Nyoka huwa hawajoungi ila wanatabia ya kutembea wawili jike na dume na moja akipotea mwingine anafuata alimopita wamwanzo kwahiyo Kama usipokuwa makini unaweza ukamuona wapili ukahisi ndo wamwanzo.
Wengine huwa wanachukua maiti ya mwenzake au viumbe wanaokula nyoka na kwenda kuificha au kula so unaweza ukahisi labda amejiunga na kusepa kumbe amechukuliwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanatusaidia nin kwenye jamiini stori tu hakuna ushahidi wowote.Alafu sio vyema kuwaua nyoka hovyo.
Walipokuwa wakisema nyoka akikatwa anajiunga, hawakuwa wanamaanisha nyoka huyu (snake). Tafsiri halisi ilikua inareflect kitendo Cha mwanaume kutahiriwa.Habari za muda huu wana JF?
Leo katika pitapita zangu kuna sehemu nimekuta kuna nyoka ameuliwa...