Ni kweli ni kawaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli ni kawaida

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mamkindi, May 21, 2012.

 1. mamkindi

  mamkindi Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna jamaa namfahamu ameshaoa, kaniambia kuwa ni kawaida ya wanandoa kucheat. Nimepatwa na mshangao kwa hiyo hata mie nikingia kwenye ndo mume wangu akicheat nione ni kawaida tu
   
 2. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huwezi jua, labda ukichukulia ni kawaida ikitokea akacheat itakupunguzia stress na ukaishi miaka mingi...
  Anyway kila mtu ana mtazamo wake kulingana na jamii iliyomzunguka kitu ambacho unapaswa kukiangalia kabla hujachukua ushauri wa mtu na kuufanyia matumizi
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  anakutaka huyo...
  kimbia zinaa hapo...
  hana lolote...
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Tanzania sex ratio (males per 100 females) = 96

  Source: Tanzania in Figures (NBS, 2010)
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si kweli kabisa lakini just keep in your mind, you cant change a cheating partner kama nimchezo wake, ataendela nao tu...mtu aliye wahi kusex nje ya ndoa, hawezi kuwacha kamchezo hako :biggrin:
   
 6. mamkindi

  mamkindi Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Smile ulijuaje, kama ulikuwepo alivyokuwa ananiambia
   
 7. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lakini kaanzia mbali sana!
   
 8. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Yaani wew hujasanda tu???
  jamaa anataka mzigo
   
Loading...