Ni kweli mishahara ya Majaji Tanzania haikatwi kodi?

Ukaguzi hauwezi kuwaacha salama? There is no positive discrimination? Unakwenda na kurudi, mind you! Rushwa anazoziita Mkuchika ni ndogo its just the scale huwa zina tabia ya kukua as they grow they become corporate corrupt and then state corruption that is when decay and failure starts. Zamani kidogo tulikuwa na tume ya Bei ask yourself ilikwenda wapi? Unapotaka kuleta ulinganisho wa mishahara whereas tija is subject in nature uncompromise innovation and creativity mishahara ilikuwa inalingana kwa mashirika yote ya umma na serikali Kuu ilikuwa kiasi tu cha mboga so that is how corruption grew exponentially . Turudi kinyumenyume for sure the destination is back to square one?
 
Ninajiuliza, ni kweli majaji hawalipi kodi? Kama kweli kwani wao wana kitu gani special hadi wapate treatment kama hiyo? Daktari analipa kodi, engineer analipa kodi, advocate analipa kodi, kwanini jaji asilipe kodi? Nadhani hiki kinapaswa kurekebishwa.


Mkuu wakati mwingine kabla ya kutoa hoja kama hizi mngepitia angalau sheria za kodi kujuwa ni watu gani wamesamehewa kulipa kodi ya mapato yaani PAYE,
Hakuna kifungu katika sheria ya kodi ya mapato ya mwaka 2004 pamoja na marekebisho,yake kilichotoa msamaha kwa majaji kutolipa kodi ya PAYE.
Waliojopendelea kutolipa kodi ni wameshimiwa wabunge ambao mafao yao y MWISHO baada ya muda wa bunge kwisha wanapewa stahiki zao zote bila kukatwa kodi.
 
Ndiyo maana tuna bunge Mh. Lissu. Hii ndiyo mijadara uliyopaswa kupeleka bungeni kwa malengo ya kurekebishwa kuliko kuongelea mitaani.
 
Basi ni jambo jema kwani bunge letu liliona busara ya kuwasamehe kodi ya PAYE kwenye mishahara midogo wanayolipwa majaji wetu ili kuwaongezea kipato. Hivyo ka gross salary ka jaji ka million 7 kwa mwezi, kama angekatwa PAYE angebaki na 4m, bunge likaona busara jaji akachukue kote bila makato.
Whatchout. Kuna wafanyakazi wanaopata chini ya hapo na wanalipa kodi.
 
Back
Top Bottom