bryleen
Member
- Jul 28, 2011
- 90
- 24
habari wanajf!kweli cjui huyu wifi yangu ana matatizo au vp maana tangu aolewe ni mwaka mmoja tu umepita lakini ye anachowaza ni lini atapata mimba maana keshatuambia ana mimba karibu mara tatu halafu ikipita wiki anasema imetoka kweli keshatukera hapa kwetu ukizingatia c hata hatuna haraka na huyo mtoto anayemtaka wala hatujawah kumuuliza habari za ye kutopata mtoto zaidi ni hao shangazi na ndugu zake ndio wanaotaka mtoto.please hebu nisaidie jinsi ya kumshauri huyu wifi yangu!