Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au uganda.
Mwenye kujua zaidi atujuve
sosi: Mtu wa karibu sana na r.a anayefanyia caspian
<br />He is applying a very sensitive law '' NEVER TRUST ANYBODY ''
Nimezisikia hizi habari kuwa r.a anaogopa kulala bongo hivyo huwa anafika tu bongo asubuhi na kuondoka zake jioni kurudi anakoishi ambako chanzo cha habari kimenambia kuwa huwa anaenda kenya au uganda.
Mwenye kujua zaidi atujuve
sosi: Mtu wa karibu sana na r.a anayefanyia caspian
Acha owongo wewe kuudanganya umma hapa. mara nyingi wanakuja weekends on friday na kuondoka monday morning.hiyo inawezekana kabisa.
mbona mabosi wa Barick wanalala masaki lakini wanashinda mgodini?
kuna watu wana hela chafu ndugu yangu. wakati wewe unalalama petroli imepanda bei, mwenzako anachoma mafuta kwa private jet.