Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

Teh teh teh teh!

Usilete ujanja wa kitoto wewe.
Sema Sina jibu.
We si unawaimbia nyimbo watu kila siku hapa Jukwaanj kuwa kila unachokikubali Una ushahidi Nacho?

Sasa nipe ushahidi hapa wa Kifo ulichosema hapo juu pamoja na huo Uhai.

Kifo ni nini?
Na UHAI ni Nini?

Wapi nimeandika kila ninachokikubali nina ushahidi nacho?

Naomba unipe hiyo nukuu kabla ya yote.
 
Back
Top Bottom