Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

Alimtukana sana Mzee Warioba...
Mpaka akasema atakwenda msituni ila tulishindwa kumuuliza ni msitu gani huo? ni huu wa mauti au? Alikuwa anapambana na vitu vingi sana ki-psycholojia mara madeni mara kakamatwa akifanya upuuzi na mabar medi....

Alikuwa anahitaji msaada wa kisaikolojia kama siyo wa kiroho. Mungu amuweke mahali panapostahili, Amen
 
Mungu mkubwa,anapenda amani kwa watanzania,amemuwai kabla ajaingia msituni,serkari tatu zinakuja angeleta janga huyu pumzika kwa amani.
 
Kwa dharau aliyoionyesha kwa mzee Warioba hakustahili kuwepo toka siku ile akifuatiwa na makonda ingawa kifo sio kizuri
 
Alisema CHADEMA wakishinda uraisi ataingia msituni naona ametangulia kuzimu .
 
Kill3 akaingie msituni mbele huko,alikuwa anatuandalia machafuko,sisi tunapenda amani,bado Makonda
 
Huo utabiri wa kifo upo wapi sasa?

Haya magazeti yenu ya ukanjanja mnayaweza wenyewe...
 
Kama aliacha na fungu la kufanya hiyo shughuli, na sio madeni kwa familia.
 
Jamaa ni kipande cha mtu, wabeba jeneza wataipata pata au wakodi kijiko libebe jeneza
 
Kumbuka kifo si adhabu, ni ahadi ambayo kila mtu lazima aitimize...

Jiulize ndugu zako wote waliofariki ilikuwa malipo? na watoto wachanga wanaofariki?

Tupunguze ushabiki tusije kukufuru kazi ya Mola...

Kama vile yy atapaa! Ajab sana hii kushangilia msiba wa jirani yako! Au alikupora mke? Kuweni na unyenyekevu mbele za MUNGU na matendo yake!
 
R.I.P Mhe.J.Komba, Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ccm jimbo la Mbinga magharibi! Tangulia mbele za haki nasi wa cdm,cuf,nccr,nk tutafata! RIP mkuu!
 
Kumbuka kifo si adhabu, ni ahadi ambayo kila mtu lazima aitimize...

Jiulize ndugu zako wote waliofariki ilikuwa malipo? na watoto wachanga wanaofariki?

Tupunguze ushabiki tusije kukufuru kazi ya Mola...



Mwambie bwana labda atakuelewa.

Nimeamini sas kuwa Siasa ni mchezo mchafu sana.
Wata mpaka wanashangilaia vifo vya wengine.
Hii ndio inayotupelekea tuamini kuwa hata albino wanauawa na wanasiasa. Mana wanasiasa na mashabiki wa aina hiyo wanachojali ni kushika madaraka tuu.Wamesahau kuwa kila mwanadam siku yake ikifika atakufa .

R.I.P .Capt .Komba.
 
Huo utabiri wa kifo upo wapi sasa?

Haya magazeti yenu ya ukanjanja mnayaweza wenyewe...

mwenywe niliona labda nasoma vibaya ila sijaona utabiri ila aliacha will yake ya jinsi ya kuzikwa
 
Back
Top Bottom