Ni kweli mchuzi wa pweza unaleta nguvu?

Ni kweli mchuzi wa pweza unaleta nguvu?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,298
Reaction score
1,875
Habari za mchana naona vijana wengi wanakunywa huo mchusi nipo mlandizi tangu Jana hapa karibu na Stendi karibu na kituo cha mayangeyange wanafakamia michuzi.

Mmoja wapo anasema unawapa maguvu ya mnara kusoma 5G.

Ni kweli?
 
Back
Top Bottom