Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Tumia muda wako kujichanganya na wenzio mtaani achana na nyeto
Hellow members
Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm akichelewa kupokea naingiwa na wasi wasi labda anachepuka![]()
jaman mapenzi yananienyesha mm chlorine gas kuna wakati nafikiria, hv kwa maumivu haya ni bora niwe single tu lakini roho haitaki Mana mwili umechoka kukung'uta punyeto ,jaman naomba kuuliza kuna nguvu gani kwenye mapenzi yaaan nashindwa nifanyeje ukizingatia kidume mm nina wivu balaa.
...it is very easy,meditation ni dawawa moja nzur sana,inasaidia kujicontrol kihisia .How is that possible
Usijitese kihivyo.....dozi ya mapenzi ni chloroquine vidonge 30 ukichanganya na Quinine 20, kunywa na beer kisha ulale...ukihamka utajisikia swari tu.
aya buanaaAseee itabdi nitafute nyuzi za hii kitu nianze kufanya mdogo mdogo...it is very easy,meditation ni dawawa moja nzur sana,inasaidia kujicontrol kihisia .
Kwa maelezo mazur kuhsu hyo ktu muone mshana Jr
Nyeto mbaya mkuu ,asante kwa ushauriTumia muda wako kujichanganya na wenzio mtaani achana na nyeto
Umeona nguvu yake hayoHahahahahaha nimecheka sana
nimeionaUmeona nguvu yake hayo
Mapenzi machozi na majuto,, bila kusahau hasara namna hiyo

