Ni kweli mapenzi yana nguvu

Ni kweli mapenzi yana nguvu

Umependa usipopendwa, feelings zingekuwa mutual ungeinjoy balaa. Hakuna kitu kitamu hapa duniani kama kukutana mnaotoshana.
 
Umependa usipopendwa, feelings zingekuwa mutual ungeinjoy balaa. Hakuna kitu kitamu hapa duniani kama kukutana mnaotoshana.
Nmpiga chin huyu natafuta kidigidigi kingine cha kutafuna huyu ananitesa tyuu
 
Be a man and walk away sometime put your own interest first so
Pain is inevitable but suffering is optional
 
Hellow members
Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm akichelewa kupokea naingiwa na wasi wasi labda anachepuka jaman mapenzi yananienyesha mm chlorine gas kuna wakati nafikiria, hv kwa maumivu haya ni bora niwe single tu lakini roho haitaki Mana mwili umechoka kukung'uta punyeto ,jaman naomba kuuliza kuna nguvu gani kwenye mapenzi yaaan nashindwa nifanyeje ukizingatia kidume mm nina wivu balaa.
Unatakiwa upitie magumu ili ijifunze,baada ya hapo utakua ni mtu mpya mwenye furaha tele,kila kitu huja na hupita sema jambo likishapita yale makovu ndiyo training progress zenyewe.......nina experience ya kutosha katika mapenzi huwa na adapt mazingira
 
..love is serious mental illness

Fanya meditation kwa wingi utamsahau tu,
Mm nkiona.akili yangu unamuwaza sana mtu ambaye hana hisia zozote kwangu ni kumfuta kabisa ktk kchwan kwa kufanya meditation...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom