Ni kweli mapenzi yana nguvu

Ni kweli mapenzi yana nguvu

Unatakiwa upitie magumu ili ijifunze,baada ya hapo utakua ni mtu mpya mwenye furaha tele,kila kitu huja na hupita sema jambo likishapita yale makovu ndiyo training progress zenyewe.......nina experience ya kutosha katika mapenzi huwa na adapt mazingira
Asante kwa ushauri
 
Tafuta bakabaka ukishalipata, yeye ndo atakuwa anakuonea wivu.Bakabaka NI VAZI TUKUFU SANA, UKILIPATA TUU, KILA KITU KITAKUWA KIZURI AU UKIPATA PESA TUU, ATAKUTAFUTA YEYE MWENYEWE NA KUKUONEA WIVU.
 
Tafuta bakabaka ukishalipata, yeye ndo atakuwa anakuonea wivu.Bakabaka NI VAZI TUKUFU SANA, UKILIPATA TUU, KILA KITU KITAKUWA KIZURI AU UKIPATA PESA TUU, ATAKUTAFUTA YEYE MWENYEWE NA KUKUONEA WIVU.
linauzwa wapi hilo nkanunue
 
..love is serious mental illness

Fanya meditation kwa wingi utamsahau tu,
Mm nkiona.akili yangu unamuwaza sana mtu ambaye hana hisia zozote kwangu ni kumfuta kabisa ktk kchwan kwa kufanya meditation...
How is that possible
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom