Ni kweli mapenzi yana nguvu

Ni kweli mapenzi yana nguvu

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,540
Reaction score
2,683
Hellow members
Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm akichelewa kupokea naingiwa na wasi wasi labda anachepuka jaman mapenzi yananienyesha mm chlorine gas kuna wakati nafikiria, hv kwa maumivu haya ni bora niwe single tu lakini roho haitaki Mana mwili umechoka kukung'uta punyeto ,jaman naomba kuuliza kuna nguvu gani kwenye mapenzi yaaan nashindwa nifanyeje ukizingatia kidume mm nina wivu balaa.
 
Mapenzi
IMG_20181028_080458_060.jpeg
 
hiyo ni ishara huna malengo kwenye maisha yako au malengo yako madogo.

Mwanaume mwenye focus ya maisha na vitu vya msingi anawaza mapenzi baada ya kumaliza kufanya vitu vya msingi,jioniiii au weekend sasa we mwenzetu huo mda wa kuwaza mkeo au mpenzi wako mds wote unatoa wapi?????

mi nazamaga kwenye mishe zangu asubuh nasahau kbs km nina mwanamke mpk lunch au jioni ndo nskumbuka kila siku nasemwa lkn nasahau
 
Sio kua kazi sifanyi mkuu ila yamechukua nafasi kubwa sana cjajua kwa nn na sio kwa huyu tu kwa mahusiano kadhaa nliyopitia
 
Hellow members
Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm akichelewa kupokea naingiwa na wasi wasi labda anachepuka jaman mapenzi yananienyesha mm chlorine gas kuna wakati nafikiria, hv kwa maumivu haya ni bora niwe single tu lakini roho haitaki Mana mwili umechoka kukung'uta punyeto ,jaman naomba kuuliza kuna nguvu gani kwenye mapenzi yaaan nashindwa nifanyeje ukizingatia kidume mm nina wivu balaa.
Vp ulishapima kama diameter ipp sawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom