mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Kuna wakati katika ndoa huwa kuna tabia ya mmoja wapo kuchepuka (kufanya umalaya)
Mtu mmoja akasema dawa ya mtu huyo ni kulipwa kwa analolifanya. Yaani na huyo mpenzi wake anaemchit akianza naye kuchepuka bas huyu nae atatulia.
Pana ukweli hapo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mmoja akasema dawa ya mtu huyo ni kulipwa kwa analolifanya. Yaani na huyo mpenzi wake anaemchit akianza naye kuchepuka bas huyu nae atatulia.
Pana ukweli hapo??
Sent using Jamii Forums mobile app