swali hili nilikuwa najiuliza Unasikia DIRISHANI risasi zinapigwa NJE ukicheck ni saa 6 usiku unajiuliza nani anaandamana saa 6 usikuLusungo wewe ni mkongwe, pamoja na mapenzi yako kwa chama na serikali kwenye hizi nyuzi ungekausha tu mzee baba...
Trauma ambayo watu wamepitia haswa watoto wadogo kwa siku 4 mfululizo sio ya kuibeza na kuleta ushabiki wa kisiasa...
Risasi zimepigwa mitaani huku ndani ya majumba kukiwa na watoto wadogo waliokuwa traumatized na kuamini kifo kimewasogelea...
Kuna mitaa haswa ile iliyokuwa kitovu cha waandamanaji, milio ya risasi ilikuwa ikisikika hadi usiku wa manane, kwa akili za kawaida hakukuwa na waandamanaji mida hiyo, je hizo risasi zilikuwa zinaelekezwa kwa nani?
Watu wamepoteza maisha mzee, acha kabisa...
watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shuleWalisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazi...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea , aliyewaana kuyayushia mawe.
Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa
Naongea ninachojua
Britanicca
watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shule
Acha na huyo ambaye alikuwa barabarani, hao washenzi wanaweza kujitetea kuwa alikuwa anaandamana...Kwa majonzi niliyo nayo kama Kuna anaweza nisogezea huduma ya KIFO kwa koment zangu namkaribisha.
Nilicho shuhudia ni crime against humanity..
Watu wapo barabara wanaenda majumbani mwao askari Wana wafyatulia risasi za moto usawa wa tumbo na KICHWANI.
Alafu watu wanataka kunyamazisha / damu za watanganyika wasio na hatia
uliona ule mtiti wa kuchoma choma vitu na kuharibu majengo ungekuwa wewe ungeakuwa wewe ungefanyaje?..kwani wananchi wakiandamana ni lazima kuwauwa?
..kwanini Mama Abduli hakutekeleza 4R ili kuepusha maandamano wakati wa uchaguzi?
risasi kwanza ili watu waheshimu utawala..kwani wananchi wakiandamana ni lazima kuwauwa?
..kwanini Mama Abduli hakutekeleza 4R ili kuepusha maandamano wakati wa uchaguzi?
Very true Mimi pia na jamaa tumerushiwa risasi tukiwa kwenye premises the same...Acha na huyo ambaye alikuwa barabarani, hao washenzi wanaweza kujitetea kuwa alikuwa anaandamana...
...mimi nimeshuudia mtu yuko kibarazani kwake apigwa shaba, yaan acha kabisa.
Hawa walitumwa kuja kuua watu wasiokuwa na hatia, sio kuzuia maandamano.
Hauko peke yako dada, tupo wengi sana tunaopitia kipindi kigumu.Moyo wangu unaugua sana, nashindwa kupata usingizi sijui nifanye nini jamani
Hata kama huna moyo wala roho lakini weka heshima kidogo kwenye machungu ya watu. Siingilii uhuru wako lakini nakuomba usidhihaki watu waliojeruhiwa kiPyeeeeeeeeeeeeee Toto pumbavu
Hivi wewe una hata chembe ya ubinadamu wewe?uliona ule mtiti wa kuchoma choma vitu na kuharibu majengo ungekuwa wewe ungeakuwa wewe ungefanyaje?
risasi kwanza ili watu waheshimu utawala
Inahitaji ubinadamu ukutoke kabisa, kisha uvale roho fulani ya kishetani ndio unaweza kufanya matendo waliofanya hao mahayawani.Very true Mimi pia na jamaa tumerushiwa risasi tukiwa kwenye premises the same...
Up to now sina Imani na jeshi la polisiii huwezi turushia risasi za moto usawa wa tumbo na KICHWANI tukiwa ARMLESS
uliona ule mtiti wa kuchoma choma vitu na kuharibu majengo ungekuwa wewe ungeakuwa wewe ungefanyaje?
risasi kwanza ili watu waheshimu utawala
Una Interest gani na haya yanayofanyika ww ?Hahahahahahahaha stori mnazibadilisha tyuuuuu
Poleni sana jamani. Poleni sana hii dhahma si ndogo.swali hili nilikuwa najiuliza Unasikia DIRISHANI risasi zinapigwa NJE ukicheck ni saa 6 usiku unajiuliza nani anaandamana saa 6 usiku
nikawa nawaza mbna kma ASKARIndio wanaleta TAHARUKI zaidi
ooh leo ndio nimejua zile RISASI watu ndio walikuwa wanauliwa huko NJE dah !!!
Atakufa kifo cha mateso makali sana huyu dhalimKwa nilvomuona samuya jana, she is ready to kill thousands to remain in power.