Ishu ya tazara kota.. waliokuwa wafanyakazi wa Tazara miaka ya nyuma shirika liliamua kuwa linawakata kwenye mishahara yao na baada ya mda wakawa wamiliki halali wa kota hizo.. kila mtu na loshen yake,, miaka ya ivi karibun oilcom aliweka mkakati wa kuwaamisha wamiliki wote.. na alianz ghorofa moja baada ya jingne mpaka sasa anaendlea kuwaamisha.. kila mtu alkua akilipwa milion 119.. kila ghorofa lina familia 9,, pale oilcom anataka kuunganisha kutoka kwny depo yao waliyoijenga pale sokoto mpk vietenary sheli lote liwe eneo lake