Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
Sio Siri na ni doa kwa akina Maghufuli na Mwakyembe kuhusiana na nyumba za serikali zilizouzwa kiholela nchini kote
Ni uamuzi mbovu ambao haujawai kutokea!
nyumba za serikali huko prime areas kama Masaki na Oysterbay zimeuzwa kwa bei poa ya kutupwa ambayo ni chini hata ya bei ya viwanja vya serikali tena kwa mkopo ukikatwa kwenye mshahara taratibu!
Nyumba za mashirika makubwa tuliyorithi kama BANDARI, TRC na TAZARA ni blunder tupu,hebu jiulize unapomuuzia dereva wa treni nyumba anayoishi leo kesho akistaafu mkaajiri dereva mwingine atakaa wapi? au ndio akapange kimara achelewe kuja kazini kwa mifoleni yenu ya Dar? ama akifikisha treni salama usiku aanze kuhangaika na daladala kurudi bunju nk ahatarishe hata usalama wake?
Je ni halali kuuza majumba yaliyojengwa toka wakati wa mkoloni yakatengwa kwa mawaziri,spika,watendaji wakuu nk na leo ukiteua wapya una waweka hotelini ama kuwajengea maghorofa kama hostel?
Nyumba za serikali ni mali ya Watanzania woooote wakiwamo WATUMISHI WAUMMA,WAKULIMA,WAFANYABIADSHARA,MAJOBLESS nk na zimepatikana kwa kodi ama michango yao wote kwa namnaa moja ama nyingine iweje leo wafanyakazi wa serikali tuuu ndio wauziwe kwani wasio watumishi wa umma hawana haki hiyo?
Ni aibu kubwa na ndio maana hata Ikulu yetu itauzwa ili raisi ajaye nae ajenge nyingine
Kituko cha mwaka ni pale wanaposema mtu akiuzima nyumba ya serkali aiiuze ama kubadili matumizi ndani ya miaka 20-25..THUBUUUTU!! nani kasema?
Nyumba zote Obay na Masaki zimebomolewa na kujengwa Maapartment ambayo mtanzania hawezi kukodi ama kama ni hotel pia mtz wa kawaida ataishia kupita nje na kusoma mabango tu
Masaki na Obay sio tena maaneo ya Residential bali ni COMMERCIAL areas ndio maana hata watu wa Tanzania Parking System wapo huko wakitoza ada za Parking( Utamtozaje mtu parking fee nyumbani kwake?)
Tusijidanganyane, hii ni blunder tumejipaka matope usoni
Kule Tazara nyumba walizokuwa wakikaa askari wa TAZARA zimevunjwa na kuwekwa yadi ya CAM GAS!! huyo Fareed anaetajwa ni bosheni tu wanunuzi ni familia ya OIL COM
Hivi Tazara ni mali yenu pekee watanzania? basi mngeita TARA tutoe ZA maana hatuelewi..hivi leo Zambia wakiamua kuuza kipande cha reli kilichopo ndani ya ardhi ya nchi yao mtalalamika? mbona nyie mmeuza nyumba kwa laki tano tano? bei ya nyumba hata kodi ya nyumba kwa mwezi haitoshi!
na kwa nyinyi mliopewa( maana sio kuuziwa) mnaweza kujidai kweli kuwa mnamiliki nyumba Dar? wakati hata bei ya kiwanja cha huuko Chanika hamuwezi kukimudu
Kama ni UKAWA,kama ni LOWASSa kama ni yeyote ajae mtaji mkubwa ni kurudisha nyumba na kuwarejeshea visenti vyao walivyolipia hiyo mihekalu na kuigeuza mitaji
hainiingii akilini waziri mkuu akakae pugu wakti kuna makazi yake jirani na ofisi yake...hizo gharama za motorcade kila siku nani anazikipia? hebu wataalamu wa economics tuchambulieni COST ANALYSIS tuone imekaa vipi
tuache mambo ya aibu turejeesheni nyumba zetu baba zetu walizijenga kwa kodi zao
Big Up Machali,Halima Mdee, ngedere nk
******************TUNATAKA NYUMBA ZEETU************************