sirmz ndola
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 273
- 32
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo mengine ya wazi yaliyokuwa reserved kwa siku za mbeleni nasikia nayo yameshachukuliwa na yamejengwa bandari kavu.HUYU OIL COM HUYU!!!
LAZIMA MSHARIKA WA FIRST FAMILY ATAKUWEPO!
SHORTLY
**********
YAREJESHWE HARAKA KWANI NI MALI ZA TAZARA.
PAMOJA NA ENEO LOTE NA MIPAKA YA ENEO LA TAZARA IKAGULIWE UPYA PIA KUWEKEWA ALAMA UPYA,KUNA WALIOJIKATIA KAENEO HAPO NA WANAJULIKANA BY 100%.
Lile eneo ni "Prime area" kwa kuwa lipo kando ya Port Acces Rd (Mandela rd) na si mbali na bandariMaeneo mengine ya wazi yaliyokuwa reserved kwa siku za mbeleni nasikia nayo yameshachukuliwa na yamejengwa bandari kavu.
Kama kweli wewe ni mzalendo wa nchi hii ukiambiwa waliomilikishwa basi utapata shinikizo la damu na kufariki hapo hapo!
Hakuna cha ukubwa wa kampuni hapo ni upigaji dili. Kilichotokea akina Riziwani waliona fursa wakaruhusu uuzaji wa nyumba kuzuga kuwa wanauziwa wafanyakazi halafu Oil Com anunue kwa wafanyakazi watanzania tubaki tumepigwa sarakasi. Rais wangu JPM haya ndio majipu halisi, wale wafanyakazi walio kwenye payroll ya serikali ndio wanaotumbuliwa lakini hawa mapapa naona wanadunda tu. Huyu huyu Oilcom tunamdai pesa nyingi za kukwepa ushuru wa mafutaMakampuni makubwa hiyo ndo kawaida yao,na kampuni haiwezi kuwa kubwa kama haiwezi kumeza makampuni mengine,kuingia ubia ama kujitanua,
Ulichokiandika hapa sidhani kama ulirudia kukisoma maana usaha mtu bila aibu............chama cha mafisadiMakampuni makubwa hiyo ndo kawaida yao,na kampuni haiwezi kuwa kubwa kama haiwezi kumeza makampuni mengine,kuingia ubia ama kujitanua,
Unajua watu hawajielewi tukwao sio kashfa....kashfa kubwa ni richimondi ya mzee wa watu lowassa kizaz cha laana hiki......