Ni kweli kwamba Yanga ni timu ya CCM?

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
10
Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote juu ya madai hayo?
 
Nikiambiwa nichague Yanga na CHADEMA haraka sana nachagua CHADEMA hata nikiamshwa usingizini•
 
Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote juu ya madai hayo?

Muulize Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA afu ni mshabiki wa YANGA
 
Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote juu ya madai hayo?

Nenda ukanyonye haya mambo ya wakubwa huyawezi.
 
Ni kweli, lakini ni suala la kihistoria zaidi linahitahi ufafanuzi wa kina. ila tu kwa kifupi ni kweli
 
Kwani hata hapo mwanzo yanga ilikuwa inavaa nguo kama za tanu ama maana mimi hainiingii akilini ama yanga nayo ilianzishwa baada ya ccm ama ndio ilibadili rangi za jezi ? ama tu kwa vile sasa kiongozi mkuu wa nchi anapenda yanga ? angalieni mtawaponza wengi mkihukumu hivyo
 
NIMEKUWA NIKISIKIA MANENO KWAMBA ETI YANGA NI TIMU YA CCM...WANAOSEMA HAYA WAMEKUWA WAKITUMIA EVIDENCE KWAMBA {1} KUNA LINK KATI YA YANGA NA TANU HATIMAYE CCM {2} RANGI ZINAZOTUMIWA NA YANGA NDO HIZOHIZO ZA CCM {3} HATA KTK MECHI ZAKE GOLI LIKIFUNGWA WAMEKUWA WAKISHANGILIA ccm..ccm...ccm.!{ 4}KWAMBA ETI YANGA NI SERIKALI KWA KIGEZO KWAMBA NI TIMU YA CHAMA TAWALA-CCM,MIMI BINAFSI HUWA NAPATA TABU KIDOGO KUELEWA HILO LA 4,SIJAWAHI KUSIKIA KAMA KUNA KLABU KOKOTE DUNIANI INAYOMILIKIWA NA SERIKALI..ISIPOKUWA TIMU YA TAIFA., SASA KAMA KWELI YANGA NI CCM,INAKUWA VIPI KATIKA ZAMA HIZI ZA VYAMA VINGI? Tusaidiane kuliweka sawa hili...Discussion please.!j
 
Yanga ndiyo timu iliyotumika ktk harakati za kupigania uhuru wa nchi hii.yanga walikuwa wanashangilia CCM kipindi kile
cha mfumo wa chama kimoja,kuna wakati,baadhi ya waCCM walitaka yanga ilazimishwe kubadilisha rangi zao.
lakini mwl Nyerere aliwajibu wajumbe hao kuwa ,labda CCM ndiyo ibadilishe rangi kwani yanga rangi hiyo wameanza kuitumia kabla ya CCM.
vilevile jina lingine la mtaani la yanga ni WANANCHI
 
Kwa maana ya harakati za kupigani uhuru wa Tanganyika ni vigumu sana kuizungumzia historia hiyo bila kuitaja timu ya Dar es salaam Young African (hilo neno Young ndio lililosababisha iitwe YANGA) kwa jinsi hiyo pia ni ngumu kuitofautisha na chama cha TAA na hatimae TANU, kuhusu rangi zake kufanana na ccm hilo sijui but nahisi ilitokea just by coincidence tu cause kuna viongozi wengi tu wa sasa na hata waliopita ni mashabiki wa SIMBA ili hali wao ni wanachama wa ccm!
 
Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote juu ya madai hayo?

kuna kajiharufu ka ukweli fulani hivi , jaribu kufuatilia viongozi wengi wa yanga ukiacha MPONDELA , AMBAYE NAYE ALIKUJA CDM KUGOMBEA UBUNGE TU , MAANA BAADA YA HAPO HATUKUMUONA TENA .
 
Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote juu ya madai hayo?

Jamaa yangu umenichoka. unalinganisha timu yangu na CHAMA CHA MAJAMBAZI ?
 
Back
Top Bottom