Ni kweli kuwa papuchi zinapatikana kwa urahisi siku hizi ndiyo maana vijana hawaoi?

Hivi kwann mnapenda kuhusisha kuoa na kufanya mapenzi as if hiyo ndio sababu namba moja kwetu sisi wanaume...?!

Acheni ujinga watoto wa kike......

Kuna vitu vya msingi sana hamna ndio maana tunaona mtakuwa mzigo katika safari ya maisha ......mapenzi hata mwanamke kichaa anaweza kufanya ila unaweza muweka ndani ukafanya nae mikakati ya maisha na kupanga nae malengo?!
Hujuwi kuwa nia asilimia ndogo sana ya wanawake wanaobeba mimba kwa kukusudia iwe ndani ya ndoa au nje ya ndoa.

Watu wanakutana kwa lengo la kuenjoy hlf paapu mimba. mke anajifungua miezi 5 mimba nyingine wote wanabakia wanashangaa mke na muwe kuwa imeingiaje.

kuoana lengo siyo sex tu ila bila sex hakuna ndoa pia, sex imeshikilia ndoa kwa asilimia 98..

Ndoa nyingi zinayumba kisa baba netwk inasumbua na muda huo wana watoto,maisha mazuri,
kama ndoa ingekuwa cyo mechi ndoa hizo zisingekuwa zinakufa kisa mechi zimekuwa adimu.

NB.hili jukwaa huru na kila wazo la mtu ni sahihi kwa mtazamo wake so huo pia ni mtazamo wako mkuu..
 
Kiukweli papuchi ni rahisi kupata kuliko zamani. Pesa yako tu.
Siku hizi hatakama huna pesa unasaidiwa kikubwa uwe na buku 2 ya boda boda.

Na kwa uzoefu cku ya kwanza hawaombi pesa ila kuanzia cku ya 2 na kuendelea ndiyo mizinga inaanza
1.pesa ya saloon
2.mara kodi ya chumba niongezee
3.mara simu inasumbua nataka nyingine pesa imepungua baby
4.vocha

Yaani shiida tu ukiona tu cm yake moyo unaanza kwenda ngumu.
 
Yaani siku hizi upatikanaji wa Papuchi umekuwa simple kuliko ata upatikanaji wa Pesa,

Wakina dada jaribuni kuficha Nyuchi zenu kwa kweli mmekuwa simple sana ,siku hizi ukibet kwa madada 10 una uhakika wa kulamba kuanzia 8 na ushee,

Ata kama mko wengi siyo hivyo mtupege basi ata vimtihani kidogo pale kwenye mtongozo mmezidisha sasa kutupa Slope yaani unachukua namba unaita gheto siku hii hii na kula mzigo this is too much mtatuua na Ngoma.

Siku hizi ata lile swali la tutumie Condom hamtuulizi tena.
 
Acha ujinga rafiki angu watubanie ili iweje acha tufanyane tu we hujui nyege tatizo mwishowe tubake kuku sema jamani zingatieni safe sex na ndomu
 
Yaani siku hizi ukitongoza mademu kumi una uhakika wa kula mbunye 20

utakula hadi marafiki zao
yaani tongoza mmoja upate rafiki zake

Aibu naonaga mimi tu
Tongoza mmoja upate wawili bure
 
Ila hii nyuzi itafungwa sasa hivi ...maana siku hizi jei-Efu hwataki nyuzi za kizembe zembe ka hizi
 
Back
Top Bottom